2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Ila hakuna aliyetia aibu kama Bayern kufungwa na watu Tisa dharau sana
Uliangalia mpira kweli mkuu?
Hio mechi Enrique alikuwa hana amani nusu kutoa machozi kwa jinsi alivyokuwa anashambuliwa...
 
Mechi ilikuwa ngumu kweli ila kufungwa watu wakiwa Tisa ni dharau au we unaonaje
 
Kukua kiakili ni kutambua kuwa Vitinha ni bora kuliko Pedri
Huu mjadala wa Pedri na Vitinha huwa unamalizwa na stats
🇪🇸Pedri vs Vitinha🇵🇹 24/25 season

G/A - 18 🇪🇸
Goals - 7 🇪🇸 - 7 🇵🇹
Assists - 11 🇪🇸
Chances created - 126 🇪🇸
Big Chances created - 19 🇪🇸
Dribbles completed - 67 🇪🇸
Recoveries - 407 🇪🇸
MOTM awards - 23 🇪🇸 (Vitinha has 2 btw)

20250709_235121.jpg
 
Mechi ilikuwa ngumu kweli ila kufungwa watu wakiwa Tisa ni dharau au we unaonaje
Kwa mtu ambaye hakuangalia mpira sawa. Ila kwa aliyeangalia, hapana.

Pia nyekundu zilipatikana dakika za 85+ baada ya PSG kutangulia goli moja.... Kwa Mpira huu wa kisasa huu kutangulia kufunga bao ina matter sana...

Madrid ameaibisha mapema first half hatujaona uhondo wa gemu, tofauti na bayern ambayo first half ilikuwa mtafute mtafute.... Na pia bayern aliingia wavuni mara mbili ila zilikuwa offside
 
Hili goli la nne nimeanza kuamini maneno yako kiongozi
 
Back
Top Bottom