Kwanini mkuu?
Daah nimeanza kuwaonea huruma Madrid kwaajili ya modric anaagwa timu imepigwa tatu bila tyrNaona wanaitumia mechi hii kumuaga
Kwanini mkuu?
Daah nimeanza kuwaonea huruma Madrid kwaajili ya modric anaagwa timu imepigwa tatu bila tyrNaona wanaitumia mechi hii kumuaga
Yeah!!Anaenda zake Milan
Vipi tena.. mbona unam JPM Vinicius
Nimepita kwenye Uzi wa Chelsea mashabiki wake wengi wamekata tamaa
Anashangaa namna chama lake la zamani linavyomuaibishaDelima anasikitika tu
Hata wewe huogopi?Nimepita kwenye Uzi wa Chelsea mashabiki wake wengi wamekata tamaa
Hawa jamaa hii timu yao strength yao ni mbio.Mbappe analeta chenga za Said Maulid SMG
Delima anasikitika tu
YaaahHawa jamaa hii timu yao strength yao ni mbio.
Wachezaji wake wanachojua ni kukimbia mabio tu.
Kila shabiki wa real Madrid aliyekuwa uwanjani anawaza jinsi Gani ataificha jezi yake saa ya kuondokaDelima anasikitika tu
Aisee 😃😃Kila shabiki wa real Madrid aliyekuwa uwanjani anawaza jinsi Gani ataificha jezi yake saa ya kuondoka