uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,683
- 20,460
Wachezaji na mfumo wao wa marking...Madrid kwenye defense Kuna mtobo fulani wanapitika kiurahisi sna....hivi shida ni mfumo au wachezaji
Wrong marking, utafikiri hawaoni
Wachezaji na mfumo wao wa marking...Madrid kwenye defense Kuna mtobo fulani wanapitika kiurahisi sna....hivi shida ni mfumo au wachezaji
Madrid kwenye defense Kuna mtobo fulani wanapitika kiurahisi sna....hivi shida ni mfumo au wachezaji
Halafu kocha wa psg ana roho mbaya ety wamekosa goli la nne anasikitika...hata hurumaWachezaji na mfumo wao wa marking...
Wrong marking, utafikiri hawaoni
Ila mabeki watatu nyuma wakiwa na asencio SI msiba huoMechi za awali walikuwa wanatumia 3-4-3 leo kocha kabadili kaweka 4-3-3 basi ni kukandwa tu
Huyo kocha ni mimi mtupuHalafu kocha wa psg ana roho mbaya ety wamekosa goli la nne anasikitika...hata huruma
5 chache sana 😀Madrid kuna uwezekano mkubwa wa kula tano.
Leo wameingia kwenye mfumo tuIla mabeki watatu nyuma wakiwa na asencio SI msiba huo
Kule uefaMlicheka sana Messi na Inter Miami yake walivyopigwa na PSG haya leo na kikosi chenu bora namna gani pale?🤣🤣
Inabidi tumsingizie mbappe ndio mechi yake ya kwanza kuanza hii kaja na gunduLeo wameingia kwenye mfumo tu
SpursKule uefa
Livepoo
Arsenal
Wote walipokea vichapo
Who'sNext?
Nadhani chelsea wajiunge na yanga kusema hatucheziSpurs
PSG wako bora sana, ni vile hawana PR nzuri. Ila Vitinha au Dembele walipaswa wawe Ballon d’or contendersInabidi tumsingizie mbappe ndio mechi yake ya kwanza kuanza hii kaja na gundu
Wamalizie ng’ooNadhani chelsea wajiunge na yanga kusema hatuchezi
Nilichogundua Hawa PSG ukitaka kuwaweza Bora wasikupanie ila wakikupania ni jau sanaHuyo kocha ni mimi mtupu