Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,541
- 61,998
- Thread starter
-
- #1,561
Hapana usipishane nao sana, maana utatengeneza mashimo mwisho watakuadhibu, wape heshima yaoNilichogundua Hawa PSG ukitaka kuwaweza Bora wasikupanie ila wakikupania ni jau sana
Jamaa wapo vizuri kweli na kocha naye yupo fresh angekuwa Diego simione kashawarudisha wachezaji wote kupaki basiPSG wako bora sana, ni vile hawana PR nzuri. Ila Vitinha au Dembele walipaswa wawe Ballon d’or contenders
Ukicheza naoNilichogundua Hawa PSG ukitaka kuwaweza Bora wasikupanie ila wakikupania ni jau sana
🤣🤣Jamaa wapo vizuri kweli na kocha naye yupo fresh angekuwa Diego simione kashawarudisha wachezaji wote kupaki basi
Hii kweli nimeiona hapa....wakishambulia unaona kabisa sehemu za kupigia pass za mwishoHapana usipishane nao sana, maana utatengeneza mashimo mwisho watakuadhibu, wape heshima yao
😃😃 wamelenga kuwachapa kisawa sawaHalafu kocha wa psg ana roho mbaya ety wamekosa goli la nne anasikitika...hata huruma
Kwasasa watapigwa BarcelonaNatamani sana PSG ikutane na Barcelona
Kweli kiongozi Hawa jamaa hawaeleweki.....nahisi the blues wanajuta kuomba wakutane na yoyote Bora wangemtolea zaka Madrid tuUkicheza nao
Ukijifanya hushambulii watakushambulia.
Ukijifanyabunawavuta waje na kweli wnkuja
Ukijifanya unawashambulia utawakuta golini kwako usijue ni muda gani umepokonywa mpira.
Kifupi hakuna club kwa sasa inapimana ubavu na psg
Nakumbusha tu.Bado hajapatikana wa kumkaba Vitinha
Kuwakaba mguuni itasaidiaHapana usipishane nao sana, maana utatengeneza mashimo mwisho watakuadhibu, wape heshima yao