Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,228
- 1,530
Very very very poor and very disorganised.Madrid wana poor defence
Very very very poor and very disorganised.Madrid wana poor defence
Siku hizi Real ina watoto wasenge wasenge sana wasiojua thamani ya jezi ya Galacticos.Madrid sio wakutufanyia ivi
Pumbavu zao
Wameanza game kitoto sana.Madrid wameshakata tamaa, Mbape anasikia kizunguzungu haelewi yupo wapi
Kila la heri mkuuMadrid anashinda nipo hapa
Madrid anadhalilika..GOAL! Fabian Ruiz nets double as Hakimi assists! PSG 3-0 Real Madrid.
View attachment 3399799
Bila shaka we ni shabiki wa man UKama kuna li-timu sikipendi hapa duniani ni li-Chelsea. Kombe liende huko PSG.
Vijana wa darajani wajiandae kisaikolojiaI can imagine
Waombee wanaweza kufanya comebackMadrid sio wakutufanyia ivi
Pumbavu zao
Mbona mapema sana🤣Alonso siyo kocha, ni tapeli..
Madrid sio wakutufanyia ivi
Pumbavu zao
Mimi sina wasiwasi na uwezo wa Chelsea,Chelsea tujipange kisaikojia.
Nimeshindwa kuendelea kuangaliaOverdose 😃😃😃
Mlicheka sana Messi na Inter Miami yake walivyopigwa na PSG haya leo na kikosi chenu bora namna gani pale?
Pole sana mdauNimeshindwa kuendelea kuangalia