Leo Madrid anakula 7Leo kuna aibu😂😂😂😂😂
Kuna la tatu hukoGOAL! Error from Rudiger gifted a chance to Dembele! PSG 2-0 Real Madrid. View attachment 3399792
8Leo Madrid anakula 7
Ile ilikuwa moja ya fedheha waliyoipata Brazil na hawataisahauHahaaaaaa, hii mechi inanikumbusha fainali world cup BRAZIL vs GERMANY, Brazil walichezea 7
Kuna la tatu huko
Aibu mara ngapi?Leo kuna aibu😂😂😂😂😂
Chelsea anachukua kombe anamfunga psgChesii avue chupi kabisa huko aliko
Hahaaa we jamaa kuwa makiniMechi imeisha hii.
Ngoja tulale.
Final Chelsea vs PSG.
Bingwa ni Chelsea
Mi nimelala mkuu naangalia to live score na hivi kuna baridi siwez teseka kuangalia hawa madridMechi imeisha hii.
Ngoja tulale.
Final Chelsea vs PSG.
Bingwa ni Chelsea