Nimeshikwa na ubaridi ghafla.Dah tutaenda kufanya maajabu.
Japo ni ngumu
Umeua...halaaa madride 😃😃😃😃😃Daah timu yangu inanisikitisha sana sijui na mie niige tabia yenu kutaka kumstaafisha magungu kwa lazima ihamie kwa papaa Perez 😂😂😂
Overdose 😃😃😃Hii dose leo haiendani na umri wetu
Pumbavu zaoMi nimelala mkuu naangalia to live score na hivi kuna baridi siwez teseka kuangalia hawa madrid
I can imagineSisi mashabiki wa Dortmund tumefurahi sana
Kama kuna li-timu silipendi hapa duniani ni li-Chelsea. Kombe liende huko PSG.Chelsea anachukua kombe anamfunga psg
😃😃😃😃Hadi mtangazaji anasema "A great team is made to look very ordinary here"
Hatutoboi MKUUHahaaa we jamaa kuwa makini