OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kwani game saa ngapi
Mkuu ukweli ni kwamba Madrid hana timu ila wana mbinu, lakini Alonso atawashughulisha. Madrid akimfungq PGS utakuwa muujiza na tabeba ndoo!Mkuu unayajua ma PSG ya zama hizi? Utaona Leo Madrid atakavyokula kipigo!
Saa nne za usiku kwa saa za Tanzania mkuu.Kwani game saa ngapi
Fainali ya Chelsea vs PSG 50/50 mkuu, mbona mnaiunderate Chelsea mkuu. na leo PSG Madrid itawashangaza, waende kwa dharau waone.
Wangapi tupo na PI ESI JIII?
Walinikera sana wale jamaaAje anyooshwe vizuri, Fluminence iliyokuwa mwiba kweli kweli jana kakalishwa na alizidiwa kila kitu.
Tuko kibao.Wangapi tupo na PI ESI JIII?
Nilijua tu🤣🤣🤣🤣
Yule mtoto alikuwa anashangaa nini?Nilijua tu