2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Brazilian anawakanda Brazil wenzake.
 
Wanaanza kukera sasa hawa Brazilian
 
Wabrazil wametepeta...
Chelsea wanafanya marking vizuri sana
 
Yellow kadi kwa Kipa w Chelsea anapoteza muda
 
Watu waliwadharau Chelsea, ila ndiyo kapita hivyo. Sioni Hawa Wabrazil wakirudisha hizo BAO mbili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…