Vipi ukigusa sehemu nyingine alafu mchezaji akaublock na mkono makusudi. Sheria haipo hivyo mkuu kinachoangaliwa ni hand to ball ule mkono uliathiri moja kwa moja uelekeo wa mpira na refa naye ni binadamuMpira ukiaza gusa sehemu nyingine ya mwili kisha ukaja kwenye mkono iyo sio handball
Bado Chelsea wanaongozaAisee! Mtanisimulia kesho, Ngoja nilale
Hawezi kumfikia netoChelsea wanaupiga mwingi, naona Fluminence wanacheza kwa tahadhari kubwa huku wakishtukiza mashambulizi. Ila huyu Arias wa Fluminence ni mtu hatari sana.
Madrid akitoboa kesho anabeba ndoo.Chelsea akishinda ataomba Madrid ashinde kesho maana Yale majomba PSG!
Nafikiri marking anayofanyiwa Arias ni ya ustadi mkubwa kuliko anayofanyiwa Neto.Hawezi kumfikia neto
Huku Neto amemuiga kabisa mpanzuEnzo anacheza sana mpira wa Aucho
😃😃😃😃Huku Neto amemuiga kabisa mpanzu
Yale yale ya flamengo vs chelseaHT
Fluminense 0
Chelsea 1
Wafanyiwe comeback ya chuma 3?Yale yale ya flamengo vs chelsea
Chelsea atashinda Kwa mbindeaiseh mnao chek game vepe sec half tunaweza pata over 1.5?
Dah! Sifikirii kama Chelsea wataweza kushikilia bombaaiseh mnao chek game vepe sec half tunaweza pata over 1.5?
niliweka over 0.5 first half,,, alafu 1.5 sec halfChelsea atashinda Kwa mbinde
duhDah! Sifikirii kama Chelsea wataweza kushikilia bomba
Kuna mwingne nilimuona wa BAYERN nusu niingie kwenye tvKuna dada mmoja shabiki wa Chelsea amemulikwa na camera hapo.
Mzuri sana
Mrembo sanaKuna mwingne nilimuona wa BAYERN nusu niingie kwenye tv