2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Cucu aliokoa hii kwa umaridadi kabisa
 
Chelsea wanaupiga mwingi, naona Fluminence wanacheza kwa tahadhari kubwa huku wakishtukiza mashambulizi. Ila huyu Arias wa Fluminence ni mtu hatari sana.
 
Mpira ukiaza gusa sehemu nyingine ya mwili kisha ukaja kwenye mkono iyo sio handball
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…