comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,533
- 11,710
Makocha mazuri wapo kibao wenyewe wanahangaika na kocha asie na uzoefu wowoteMentality ya wachezaji wa Bayern kwa dakika zile za mwisho za nyongeza ilikuwa ni kushambulia zaidi sio kuzuia au kumark ntu na ntu.
However, discipline ya ya wachezaji wengi wa PSG nayo haikuwa nzuri sana.