Tutashuhudia fainal mapema kabla ya fainali yenyeweHaya sasa robo fainali ni bayern vs psg.
Hapa moto utawaka..
Atakayeshinda hii mechi ndo atakua bingwa wa hii michuano.Haya sasa robo fainali ni bayern vs psg.
Hapa moto utawaka..
Mimi sio shabik wa bayern lakin namuombea KANE aongeze kombeAtakayeshinda hii mechi ndo atakua bingwa wa hii michuano.
Nawaona PSG wakibeba.
Sasa hawa ndio ubaya ubwela unaona wanavyo sakata kabumbu wakina vitinha na hakimi.Team PSG samalekoo
Hatujui mpira sie runaruka ruka kila leo msemo ule ule oh aftica tuna vipaji🤣🤣🤣🤣African teams tumeumaliza mwendo.
Mjerumani hana utani ukijaa kwenye mfumo hana huruma kama alizoleta psg siku ya janaSasa hawa ndio ubaya ubwela unaona wanavyo sakata kabumbu wakina vitinha na hakimi.
Moto tarehe 5 sasa na bayern...wajerumani lazima watapike nyongo
Bayern anashenyentwa tuu hamna namna psg lijitu likubwa sana linapiga boli sii mchezo....umeiona gusa achia tusake goli yao ilivyo balaaa...Mjerumani hana utani ukijaa kwenye mfumo hana huruma kama alizoleta psg siku ya jana
Vitinha akipigwa pin pale kati psg inapoteanaBayern anashenyentwa tuu hamna namna psg lijitu likubwa sana linapiga boli sii mchezo....umeiona gusa achia tusake goli yao ilivyo balaaa...
Shida ni nani wakumpiga pinVitinha akipigwa pin pale kati psg inapoteana
Halafu ndio kile kijamaa chao Dembele kimepona, yaani kazi imeanza upyaaa.Bayern anashenyentwa tuu hamna namna psg lijitu likubwa sana linapiga boli sii mchezo....umeiona gusa achia tusake goli yao ilivyo balaaa...
Nani atampiga pin vitinha...haya kuna bwana ndogo yule wa mbavu ya kushoto fullback ya mpira inapanda na kushuka, driving runs za ukweli first rouch kama ya zizou. Olise ajiandae kufichwa kama alivyofichwa mo salahVitinha akipigwa pin pale kati psg inapoteana