2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Nimegundua pia team za ulaya zinacheza kimkakati. Soka la Afrika limekaa kisiasa Sana.

Waarabu ambao huwa tunawaogopa wamepigwa kama timu ya zimanimoto ya Songea.
Ah wapi hii tournament isitudanganye jameni...waarabu wanakuwa na wachezi bwana.
Mbona tp mazembe aliweza kiwatawala na akawa anawashenyenta mpaka kuna mwarabu alikula 5 magoli pale lumbumbashi.
Tatizo timu nyingi wakati waarabu wanalipa mchezaji million 50 mshahara sie tunaona wanapoteza hela.... Bro mpora ni wachezaji wazuri na hili upate wachezaji wazuri tumia hela.
 
Back
Top Bottom