2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Yani lipo wazi wazi,inaondoa validity ya mashindano.Hata matokeo ya Miami na palmeiras timu zilipanga
Wabongo ujuaji mwingi, kwahiyo kisa timu zote zilikua zinahitaji draw na game ikaisha draw basi zilipanga?

Yani kama mtu aliangalia ile game ataona kabisa namna ambavyo ile game ilivyokuwa chaotic, magoli yanapatikana out of luck ila wewe umeona matokeo yamepangwa!

Game ya Bayern mtu kashavuka, hawataki kuleta injury zisizo za lazima, wamecheza kwa ku relax na kusababisha game kukosa ladha, unakuja kusema imepangwa!
 
Man ashinde tu Leo hata kama amefuzu Ili kulipa kisasi.Maana amafungwa sana na Juve mbovu msimu wa UEFA uliopita.
Na mikeka pia itoe
Tena juve trip hii imeanza kurudi toka Igo Tudor alivyo ichukua tim
 
Kwa mara ya kwanza katika michuano hii rodri na dias wameanza.
 
Game ya leo haina presha tushafuzu.
#Cityzens
 
Italia hakuna ligi pale...πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜‚

Walivyopigwa Inter Milan na PSG tuliwatetea, Sasa hii ya LeoπŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…