Nikuletee dortmund nyingne? Subiri Adeyemi aingie muanze kujamba jambaDah! Sawa bana...
BrazilHuyu Ribeiro ni Raia wa Wapi?
Tumeanza kwa kasi nzuri.Nikuletee dortmund nyingne? Subiri Adeyemi aingie muanze kujamba jamba
Uto mna mambo ya ajabu sanaviva bvb
Mpaka mseme lile ni goli au sio goliUto mna mambo ya ajabu sana
Halafu refa ni yule yule wa Game yetu na yenu 😃😃😃.Leo mmeyakanyaga
Aisee wachawi hawaUjue nimekaa hapa namuuliza dogo swali hili hili. Lol
🤣🤣🤣Tumeshenyetwa tena