wameangalia tim zilizofanya viuri misimu mitano nyuma ikiwemo kufika fainali au nusu au robo ya champions leagueWadau wa JF Salam.
Naomba kujua jinsi wawakilishi wa kila bara walivyopatikana kwani nikiangalia Club ranking kule Ulaya hai- match na timu zote zinazoiwakilisha Ulaya.
Ahsante
Leo kuna mechi gani??
Kwa Dortmund Kazi WanayoNimefurahi ndugu zetu wa Tunisia wameibuka.
Esperence 1 - 0 Los Angeles
Bayern 2- 1 Boca Juniors
Leo Saa Moja.
Mamelodi vs Borussia Dortmond (game ngumu)
Saa Nne
Intermilan vs Urawa
Prayer and thoughts over Mamelodi
Sio kazi ndogo kwa kweliKwa Dortmund Kazi Wanayo
Nyingi tuLeo kuna mechi gani??
Ni reference ya Miaka 5 nyuma.Wadau wa JF Salam.
Naomba kujua jinsi wawakilishi wa kila bara walivyopatikana kwani nikiangalia Club ranking kule Ulaya hai- match na timu zote zinazoiwakilisha Ulaya.
Ahsante
Mkuu mbona Liverpol hawamo?wameangalia tim zilizofanya viuri misimu mitano nyuma ikiwemo kufika fainali au nusu au robo ya champions league
kwenye lig kubwa 4 ulaya wamechukua tim mbil kila taifa kwa england chelsea,man city wamefanya vizur kwa kubeba ubingwaMkuu mbona Liverpol hawamo?
Samahani mkuu Chick_tz .kwenye lig kubwa 4 ulaya wamechukua tim mbil kila taifa kwa england chelsea,man city wamefanya vizur kwa kubeba ubingwa
Mim kigezo kikubwa nilicho kielewa ni hicho labda kama kuna vigezo vingne nisivyo vijua maana naona hata ureno wana tim mbiliSamahani mkuu Chick_tz .
Mbona umejibu kirahisi rahisi Sana? Wapi bingwa wa Italia, Spain na England? Pili Angalia UEFA Club ranking halafu urudi kwenye jibu lako?
Ahsante
Kwanini wawepo?Mkuu mbona Liverpol hawamo?