Mnafungwa leo
Nshapoa Mtani. Naganga yajayo sasa.Poleni mtani🤣🤣
Leo mko Sokoine mnacheza na team yangu ya primaryNshapoa Mtani. Naganga yajayo sasa.
Hahahaaa! Na mnavyo tusumbuaga sasa.Leo mko Sokoine mnacheza na team yangu ya primary
Ni karibia visimbuzi vyote sema kwa upande wa Azam Tv inaonyeshwa Azam Sport II kama sikosei.Hivi game ya Wydad itaonyeshwa TV gani hapa Tz
Azam sports 2,mibawa tv,kc2 tvNi karibia visimbuzi vyote sema kwa upande wa Azam Tv inaonyeshwa Azam Sport II kama sikosei.
Mamelod kamweka mtu kimoko tyrSidhani kama zitafika mbali sana🤣
Leo tunacheza basketball kama aliyocheza Bayern siku ile.Mnafungwa leo
Impossible 😃😃😃Leo tunacheza basketball kama aliyocheza Bayern siku ile.
Usitutishe!!Mashabiki wa casablanca mje sasa muuone uuaji huku.
Wydad banaMarekan kazi kujenga viwanja kujifunza mpira aaaah wanataman viwe vya basketball