Sisi tunazidi masaa 9Duuh hivi USA tunapishana masaa mangapi aisee, huku kunaenda kukucha kule bado jua lipo.
Safi sanaLeo.
Saa 1:00 usiku
Man city vs Wydad AC
Saa 4:00 usiku
Real Madrid vs Al Hilal
Saa 7:00 usiku
Pachuca vs RB Salzburg
Saa 10:00 usiku
Al Ain vs Juventus
Halafu kweli aiseeNasubiria kumuona Aziz k
Wanetu wa upande wa pili Leo roho zitawauma mno 😀Halafu kweli aisee
Watakwambia wao wapo upande wa HaalandWanetu wa upande wa pili Leo roho zitawauma mno 😀
Exactly 💯 wanateseka sana yaani sanaWatakwambia wao wapo upande wa Haaland
Mhhhh kwa kipi mtani?Exactly 💯 wanateseka sana yaani sana
Sahihi mkuuHii michuano ingefanyikia ulaya isingekuwa kinyonge.
Huko USA wazee wa basketball na rugby 😂, hata mashabiki wanaoamua kusafiri ni wachache.
Tunasongesha story tu hapa Mambo vipi mtani wangu upo gudi?😎Mhhhh kwa kipi mtani?
Naona mashabiki wa America kusini ndio wapo wengi sanaSahihi mkuu
Kuna watu watasema sio mtanzania wanasahau yule kaoa bongo,watakuja watasema hakucheza tim "s" watasahau aliifunga sana,watasema hajachezea taifa stars watasahau kuwa yule ni NIGER/BLACK Mwenzetu leo mtan kaz anayoWatakwambia wao wapo upande wa Haaland
Nipo swalamaaa kabisa mtani...Tunasongesha story tu hapa Mambo vipi mtani wangu upo gudi?😎