Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
- Thread starter
- #401
Doku
Dakika au?Bado 8
GoliDakika au?
Kufunga magori kumi ni kipaji cha bayern munich sisi barcelona tulijuta na kuona dunia nzitoGoli
Aziz anaweza mpira wa kasi?Hii mechi inamuhitaji azizi
Hakuna kituHatari inakuja... naona Haarland & Benardo Silver wanapasha
Nawaza wakipata hata bao moja tu sijui vibe lake litakuwaje.Wydad wana vibe balaa
Wamechangamka sanaNawaza wakipata hata bao moja tu sijui vibe lake litakuwaje.
Sana yaani. Watanzania tuna cha kujifunza. 🤣🤣 mana sisi tukifungwaga moja tu basi tunakuwa kama tumelowa maji.Wamechangamka sana
Hasa nyie UtoSana yaani. Watanzania tuna cha kujifunza. 🤣🤣 mana sisi tukifungwaga moja tu basi tunakuwa kama tumelowa maji.