Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
- Thread starter
- #2,101
Red card kwa Joao Neves
Chelsea janja sanaPsg Leo kayatimba,
Sioni dalili Hata ya kuirudisha goli,
Chelsea wanacheza kwa energy kubwa sn
Maneno ya mkosajiMlisema psg wakiwa pungufu ndio wanakuwa moto??
Dakika 5Leo kweli mambo yamegoma, badala ya kufunga wanaokoa
IN SHAA ALLAAHHongera kwa Chelsea kwa kushinda taji la Klabu Bingwa ya Dunia
Ahsanteni wote tuliokuwepo kwenye uzi huu takribani mwezi mzima
Hadi wakati mwingine, Adiis Amigo!!
🤣🤣🤣Leo Trump anawapiga vikwazo Ufaransa kwa kufanya vita, tena nyumbani na mbele yakePSG wamepelekewa moto mpaka wameamua kuwa mabondia ndani ya uwanja 😂 hadi kocha nae anapigana 🙌
PSG wamechanganyikiwa 😂