Nadhani umeona kazi yake, kdg atoe roho ya Donna 😂Mmh delap kweli??
,Na muda huu huu kakuonesha balaa lake😁
Kila mtu leo ana balaa
Kufungwa kunaumaPSG wameugeuza mpira kuwa ndondi 😂 muda wote wanataka kupigana
Thubutu...hapa wanaongezwa chuma ya 4Haya kaingia barcola sasa hapa psg wanapata goli
😁😁watu wametumwa kaziUle muwa alipiga, donaruma akatambike😃
,
Demu akiomba maji unasimamisha show unampa anakunywa kisha unaendeleza moto, ndo uungwanaChelsea hatuwanyimi watu maji, ngoja wapate maji warudi uwanjani tuwakaze vzr 🔥
Hakika Mkuu, na moto ni ule ule 🔥Demu akiomba maji unasimamisha show unampa anakunywa kisha unaendeleza moto, ndo uungwana
Mweee hawa walishachokaThubutu...hapa wanaongezwa chuma ya 4