Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,355
- 3,044
Unawachukulia poawakijitahidi sana robo fainal
Unawachukulia poawakijitahidi sana robo fainal
Nasimama na timu za Ujerumani popote zitakapoishia panatosha.
#Bayern Munchen
#Borussia Dortmund
Weka sahihi mkuuUmekosea mkuu
Ngoja tuoneFIFA wameshajaribu mara nyingi kulipaisha hili kombe wamehsindwa, hata hili litajifia
Wanajiandaa kwenda kukandwa na City btw jamaa wamewaka.Wydad wakiwa tayari kwa safari ya MarekaniView attachment 3363521
Azam wanarusha hii michuano ?Mechi ya Ufunguzi ni kesho ( Usiku wa leo)
Saa 9:00 Alfajiri
Al Ahly Vs Inter Miami
Wamekosea location.FIFA imeanza kupata wasiwasi na muamko wa mashabiki kununua tiketi kuwa chini
Mchezo wa Ufunguzi mpaka sasa wameuza tiketi 25,000 tuView attachment 3363522