adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,588
- 7,769
PSG kuna namna wapo😀😀😀
Watu wanaanza taratibu kuingia kwenye mfumo wa PSGChelseaa wameanza na mbwembwe
A few moment later[emoji1787]
🤣🤣Watu wanaanza taratibu kuingia kwenye mfumo wa PSG
Kwa trumpKwani game inachezewa nchi Gani mbona mchana kabisa?
Tumetupia kamoja ChelseaFullback ya kisasa, attacking minded
Huyu jamaa anajua sana aisee 🙌Enzo anapenda ukorofi