2012 sijawahi kucheka zaidi ya hivi

2012 sijawahi kucheka zaidi ya hivi

1) Wakati wa kulala mwanamke yupo kitandani huku kajipodoa usoni na malip stick mdomoni na saa nyingine amevaa vidani mikononi,shingoni na masikio!! 2) watu wapo bar au restaurant mezani kuna vinywaji lakini hawanywi!!! 3) mtu anawaza zaidi ya 10dakika. Huwezi nikuta hata siku moja kwenye pc yangu na bongo/nigerian movies!!!! Ni full hollywood na bollywood kwa kiasi, tollywood ya bongo bora kuangalia watoto wakicheza!!!!
 
-Director, Producer, Location Manager, Editor, Continuity, etc wote ni mtu mmoja ambae ndo Sterling.

Wakati huo huo ukiona mtu ame act mazingira ya uhohehahe wa kijijini kabisa huku kichwani akiwa na 'wave' (mwanaume) na relaxer (mwanamke) ujue hiyo ni zao la bongo movie!
 
part one na two zinatoka at the same time.

wataspend alot.of time baharini afu waende dinner huku hawaongei.

hawawez kuongea maneno kumi.bila hata matatu ya kingereza na mara nyngi cha kuunga.

ulijuaje mwana???? yan hyo ndo inaboa vibayaaaaaaa mda mwiiiingi wanaupoteza wakiwa kimya uku kuna mizik kaa ........... za sinza msemo wa mwana hapooooo.
 
Sio siri huwa najiuliza wanao toa pesa kununua movie za kibongo.
Full vichekesho... Maajabu na waigizaji wa uongo!!!
 
mtu anafanya kazi ya kawaida tu,lakin anaishi kwenye nyumba kubwa,ana magari 3,ikiwemo range,na kazi yake ni ndogo sana,hana cheo chochote,pia ukiona lugha mbili zinachanganywa kiswahili + english,na mapoz ya kutingisha kichwa na kulamba midomo ujue ni bongo movies
 
mie huwa nashangaaa utakuta kila filamu kama kuna familia basi familia hiyo ina mtoto mmoja 2. wakati kiafrika zaidi familia yenye watoto wachache basi ni watatu. sasa huwa najiuliza wanajaribu kusawiri jamii gani je hizi za kiafrika au za mbele?
 
Back
Top Bottom