ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 548
- 661
Sasa hii ndiyo problem haswaaa! Kwenye fani zinazohusu sana "imaginations", kama uigizaji; mtu mmoja hawezi kusimamia vitu vingi na product ikawa nzuri. Never!!
Haha..Hivi wasanii mnapitia forum esp. thread hii?..
Tunapitia. Wabongo mmekalia majungu. Well, nimesoma kila comment, yanayosemwa humu ni ya kweli.
Sasa kama yanayosemwa ni kweli..majubgu unayosema yanatoka wapi?!
rahisi sana kwenye subtittle unakuta badala ya kumuandika baba mdogo kama uncle wao wanaandika small father..
dakika tano za kwanza utakuwa umeshajua muvi itaishaje
Haha..Hivi wasanii mnapitia forum esp. thread hii?..