2012 sijawahi kucheka zaidi ya hivi

2012 sijawahi kucheka zaidi ya hivi

Filamu za kitanzania:

1. Kivuli cha mpiga picha kuonekana.

2. Maudhui(Theme ni za kufanana)..yaani unapoangalia filamu(movie) moja unakuwa kana kwamba umeona movie saba hadi tisa zinazoshabihiana KILA KITU..hasa zinazohusu maoenzi.

3. Hakuna uhalisia( yaani hisia haziendani na matendo)..hivyo ni kama Tanz-Fiction.

4. Wakati mwingine filamu za kitanzania hasa zenye kuwa na Genre/Theme ya Kutisha(Horror) haziwi hivyo DISGUSTING inachukuliwa ni HORROR!

5. waigizaji(actors na actresses) kuangalia mtu anayepiga picha ya filamu na camera badala ya kuigizia sehemu(part playing).
 
Walinzi wote wanakuwa hawana akili timamu,
M2 akitaka kulia anaangalia juu,
nguo za club anavaa ofisin,
movie inaisha ghafla kama taanesiko wamekata umeme,
nyumba na magari yaleyale karibu movie zote!
Hosptal,club hakuna wa2 wengne zaidi yao tu.
Nitaendelea bdae
 
Nafasi ya mlinzi ,chizi,msukuma mkokoteni na nyingine zinazofanana na hizo mara nyingi huigizwa na underground !!
Huwezi ona star kaigiza mlinzi,house girl nk !!
 
Back
Top Bottom