"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....

Asante sana Big sisy,
Si unajua mtu na shemejiye lol!
Sipendi kuwa kwa hilo kundi naamin na mungu atanisaidia nisifike huko,
Kwakweli leo Fais sijamuona kbs sijui yuko pande za wapi,hope atakuwa hajaiona hii kbs.
 
Lengo langu kubwa kwa mwaka 2011 ni kufungua file jipya.
 
Babu malengo mazuri sana na hongera sana sana Mungu akujalie uweze kuyafanikisha.
Hilo la kuachana na mpango wa kando ni la muhimu sana maana litakufanya ufikirie nyumba kubwa zaidi
Na mimi naomba sana sana tufanikiwe kuonana uso kwa uso mwakani.
Tena wewe usipofanya fasta, ntakupandia Dar Express nikufuate hukohuko.......

Shem.... Hongera kwa yooote hayo na Mwenyezi Mungu afanikishe kwa Rehema zake... Ila hapo naomba umshawishi na Sweetie... Labda itasaidia atabadilisha na ile avatar maana naona yamuongezea ulevi huyu bwana! lol
Shem huyu mtu anahitaji maombi ya Mashehe, mapadre, wachungaji na maaskofu ndo angalau anaweza 'kufikiria' kuacha hiyo makitu
 
Dah! Pole saana Mpoleee kwa hili, Hopefully you have been able to rise beyond the problem na sasa upo Stronger. Katika maisha tunakutana na mambo mengi mabaya na mazuri na watu vivo hivo.... Kikubwa ukumbuke kua jifunze from those mistakes.... Na angalia uwepo wako FB na ikiwezekana jaribu kupunguza. sasa hivi inatumika vibaya saana mpaka yasikitisha kwa kweli.... Pole saana na BEST OF LUCK 2012....
 
Tena wewe usipofanya fasta, ntakupandia Dar Express nikufuate hukohuko.......

Shem huyu mtu anahitaji maombi ya Mashehe, mapadre, wachungaji na maaskofu ndo angalau anaweza 'kufikiria' kuacha hiyo makitu

Nafikiri nitakuwa wa kwanza kukutafuta Babu
Usiwe na shaka Babu tuombeane uzima wa Mungu.
 
Asante sana Big sisy,
Si unajua mtu na shemejiye lol!
Sipendi kuwa kwa hilo kundi naamin na mungu atanisaidia nisifike huko,
Kwakweli leo Fais sijamuona kbs sijui yuko pande za wapi,hope atakuwa hajaiona hii kbs.

Taratibu lakini mdogo wangu.... You know how I love him na sipendi mtu stealing the Thunder.....lol
 
Tena wewe usipofanya fasta, ntakupandia Dar Express nikufuate hukohuko.......

Shem huyu mtu anahitaji maombi ya Mashehe, mapadre, wachungaji na maaskofu ndo angalau anaweza 'kufikiria' kuacha hiyo makitu

Nitakuomba tupange mikakati.... Noamba nifitishe katika your busy schedule....
 
AD mwakani naomba nianze kabisa upya mahusiano yangu na Mungu. Kama kuna nilipoteleza mwakani naomba sana Mungu anirudishe kwenye mstari
Naamini nitaweza na naomba Mungu sana anijalie hilo
 
AD mwakani naomba nianze kabisa upya mahusiano yangu na Mungu. Kama kuna nilipoteleza mwakani naomba sana Mungu anirudishe kwenye mstari
Naamini nitaweza na naomba Mungu sana anijalie hilo

Hapa napigwa changa la Macho! lol
 
Hapa napigwa changa la Macho! lol

It is not that way dear
Real I need to do that haswa kuwafundisha watoto njia bora za kumjua Mungu wakiwa wadogo
I can not do that kama na mimi mahusiano yangu yako ovyo.
I need to be real father kwa kuonyesha mfano kwa wanangu.
Na kuonyesha mfano ni kuwa mstari wa mbele katika hilo
 
AD mwakani naomba nianze kabisa upya mahusiano yangu na Mungu. Kama kuna nilipoteleza mwakani naomba sana Mungu anirudishe kwenye mstari
Naamini nitaweza na naomba Mungu sana anijalie hilo

Hapo blue................we are in the same route Mr Rocky. When I think of it, I find so ashamed of myself.
I really need serious changes in this sector. dah...............!!!!
 
.. I count myself blessed ... you agreed you willnt mind and I will keep the promise ? Yes of course!

AND

Before its the end of the year ... Want to remind you on one thing ..that .. tells me now you r really matured on the TOUGH LOVE ..the foundation of the PMs!

.. Scented cloves with Love ... Hah hah ..hah.. That is AshaDii .. I dont think I will forget this in near future ...

I hope you remember this line..!

"... I have my fighting gloves on (Worn and scented with love) guaranteed to give you bitter sweet blows at FULL CAPACITY...!"

Real Tough Love eh? ... With full force.. total impact ... Lol ... and why should i forget this!? Lolz
 
QUOTE=Kipipi;2975404]Hapo blue................we are in the same root Mr Rocky. When I think of it, I find so ashamed of myself.
I really need serious changes in this sector. dah...............!!!![/QUOTE]

Kwa kweli ni jambo zuri sana kufanya hayo
Kweli nimekuwa nje ya mstari sana and I need to return back to a normal life and make a lot of changes in my life.
Nimrudie muumba wangu na nitakase njia zangu.
 
Mwaka wa maamuzi magumu sana huu kwangu! Nashukuru nimepata ujasiri wa kuyafanya!

Namshukuru Mungu!

Mengi niliyopanga hayakwenda kama nilivyotaraji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…