AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
- Thread starter
- #21
It was a wonderful year my dear, as kila kitu kilicho tokea kimenisaidia kwenda mbele (like misiba, distant relation etc). I was able to use them positively. Hapa tunafika almost mwisho wa mwaka, balance iko largely positive!
That's the spirit! It is a Great thing learning from yale ambayo yanakuumiza.... It makes as stronger, more human and more understanding....
In addition... One of my Great achievements mwaka huu ni kupata new friends... Diverse, each very interesting in his/her own way. Katika maisha yangu i have never made marafiki wengi kwa mda mfupi kama hapa JF na one of them is you....