FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
oooh me FL1 nahisi nianze kulia kwanza nitarudi baadae my dear ashadii
Mafanikio:
Yapo mengi...namshukuru Mungu.
- Familia ipo poa, hakuna mikwaruzano na mamaa.
- nimepata marafiki wapya wengi na pia kukutana na wale tuliopotezana kwa muda mrefu.
...mengine nayaacha kwa sasa ili "SMU" wa JF aendelee kubaki hivyo!
Matarajio:
- nitaitikia wito wa kilimo kwanza kwa vitendo...maandalizi yashaanza! Natafuta watu proper kwa ajili ya execution.
- kuwa karibu zaidi na Mungu wangu na pia kujitoa zaidi kwa ndugu na jamii inayonizunguka
- kutekeleza wazo la kuachana na ajira.
Na mengine mengi tu...via mobile inakuwa ngumu kuandika kwa kirefu.
Changamoto:
- bado nipo kwenye ajira....na hili linanikera sana......nimekuwa nikiamini kwa kiwango nilichofikia napaswa kujiajiri na pia kuanza kutoa ajira kwa watu wengine. Exit strategy yangu haikufanikiwa. Wife pia anahofu sana juu ya wazo hili.
- Nimeshindwa kufanya/kuhudhuria ibada kikamilifu na pia sijajishughulisha na shughuli za kujitolea vya kutosha..
oooh me FL1 one nahisi nianze kulia kwanza nitarudi baadae my dear ashadii
kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na afya kwa mimi na familia yangu mpaka sasa na kumwomba kwa mwaka 2012 mwaka 2011 mipango haikuwa kama nilivyotarajia..... naamini 2012 nitajitahidi na kwa uweza wa Mungu naamini niliyopanga yatafanikiwa
Nakushukuru....nami pia nakutakia mafanikio.Nimependa the above parts.... Inaonesha you so look forward
to life na kwamba it is treating you good na you are not at all
dissapointed to date. Mungu azidi kukusimamia wewe na familia yako SMU.
Hii changamoto ulonayo am telling you inatusumbua tulo wengi, for hapa karibuni rafiki zangu more than three wanalalama hili suala and looking forward to positve changes via starting their own businesses and organisations. Hata hivo you have to take note kua sio rahisi na ahiitaji mtu akurupuke. inatakiwa kua makini saana hasa kama sasa una kazi, hakikisha all is good, mipango imekaa pouwa, usha draft, research na worked on what you want to do..... But najua you know better.... Best of Luck kwa yoote na hasa mwaka huo ujao.....
Black woman napenda your sense of high spirits, wajua kua mwaka haukuenda ipasavo BUT bado una Hope kua Mungu atakusimamia safari hii.... Nami naomba Mungu aweze kusimamia, na awazidishie familia yako baraka, neema, mafanikio na furaha.
Huna ambalo waweza nidokeza kama one of the plans mwakani? lol
Asante sana dearR' habari ya siku na how is you family? Siku nyingi pal hata pande zile naona hatujaonana kivile maana ni full mpishano.
Nimefurahi kusikia mwaka ulikua mzuri kwako na unatazamia utakua mzuri zaidi.... Una bahati saana. Hope unatambua hilo for kuna wengine matatizo yamewaandama mpaka wamemkufuru Mungu. Count your blessings na usisahau kumshukuru Mungu.
Nakushukuru....nami pia nakutakia mafanikio.
Mara nyingi tumekuwa waoga tu wa kufanya maamuzi 'magumu'. Nimejiandaa vya kutosha materially na hata professionally. Nina hiyo strategy ya kilimo cha kumwagilia ambayo kimsingi ni sehemu mojawapo ya exit strategy yangu. Kwa nature ya kazi zangu sio rahisi mtu 'kufa njaa' kama ni mtu wa kuchakalika.
@soraya
kupunguza 18kg you deserve an award
committment award for sure
hakuna part ngumu kama hii jamani
kama haijakukuta huwezi elewa
Salute!
Hahahahahhahahah,
Wewe ADi bwana, huwa unaniacha hoi na posts zako....
Ngoja nifikirie kwanza, ni kitu gani nimefanikiwa 2011!!
Hata hivyo 2012, lazima niachane kabisa na JF au niipe <25%!!!!!!
Babu DC!!
Hasa ninaingia kwenye consulting business, lakini kuwa independent kutafanya iwe rahisi kwangu kumanage kilimo na changamoto zake.SMU I am impressed.... REALLY Impressed. Exit strategy yako kilimo? wachache wanaweza hio sector.... Na most tu waonga saana kuvamia kilimo tokana na ukweli na hali halisi ya soko related na kilimo. But tokana na maelezo yako na the way unaji-express inanifanya niamini you know exactly what you are doing na the chances of mafanikio ni makubwa kuliko kushindwa.....
If you don't mind nitakua nakusumbua kupata update. ...
Dear AD naamini yote yawezeka kupitia yeye (Mungu).
uzi mzuri sana umenikumbusha mambo mengi jioni ya leo
umemsoma SMU changamoto
ndio haswa nategemea 2012 Mungu atawezesha
nitaendelea kuwepo kwenye ajira lakini kuwepo
na kitu kingine binafsi cha kuweza kusaidia kuendeleza
sebene la maisha
Naamini Mungu anakwenda kutenda hilo
Niharakishe kuuliza WHY????? hapo colored. (sababu iwe ya kuniridhisha DC)
Alafu urudi bana, nataka nisikie full package... And Mzee DC Thanks for the Acknowledgement.
Thanx AD for your invitation,kiukwel kwanza nimefurah na bado naendelea kufurah wakat naandika msg hii kwa kuwa na rafiki kama ww,ukiwa ni miongon mwa marafiki weng niliowapata kwa mwaka huu hapa JF,Namshukuru MUNGU (herufi kubwa namanisha msisitizo) kwa kunipa afya njema 2011 na miaka ingne iliyopita mana siugui ovyo...lol,kwa mwaka huu nimefanikiwa baadh ya malengo yangu,ingawa mengne hayakufanikiwa,kwa 2012 nina mpango wa kuongeza elimu na nimeshaanza mchakato wa kuapply vyuo mbalimbali,na pia nina plan ya kuwa na ubavu wang wa kushoto mwenye sifa za kunifaa (naomba mungu alisimamie hili),zaid naomba afya njema il malengo yatimie
Huyu lazima alikuwa kwenye ile show ya "The biggest loser". He he he!.@soraya
kupunguza 18kg you deserve an award
committment award for sure
hakuna part ngumu kama hii jamani
kama haijakukuta huwezi elewa
Salute!