kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 12,168
- 13,822
swala LA kombe LA dunia usinifanishe na msafara wa bygone kwenda chato
Mkuu, kuanzia leo 2021 mpaka 2031 haviwezi kuboreshwa?Viwanja vipo lkn havina sifa. Km ni marks ni 5% kati 100. Hivyo viwanja hata kufanyia mazoezi havifai.
Nyapu za kiganda tutazihondomola.Kuna faida gani za kuandaa hayo mashindano? Ziorodheshe
CCM/MATAGA wana majibu khs hilo.Maana 97% ya viwanja hivyo ni mali yao.Mkuu, kuanzia leo 2021 mpaka 2031 haviwezi kuboreshwa?
Ninazungumzia AFCON na sio WORLD CUPswala LA kombe LA dunia usinifanishe na msafara wa bygone kwenda chato
Mkapa ulichukua muda gani kukamilika? Tuchukulie hiyo reference ingawa technology imeshaimarika kwa sasaMkuu, 2031 ni miaka 10 kutoka sasa, je hatuwezi kuboresha hivi vilivyopo kwa sasa ndani ya muda huo ambao mimi ninaona kuwa ni mwingi sana...
Uwanja wa mzee Mkapa ule ulijengwa "from scratch" ila hivi vingine ni maboresho tuMkapa ulichukua muda gani kukamilika? Tuchukulie hiyo reference ingawa technology imeshaimarika kwa sasa
Wazo zuri sana hili sema wengi hawawezi kukuelewa mkuuUwanja wa mzee Mkapa ule ulijengwa "from scratch" ila hivi vingine ni maboresho tu
Hata hivyo nafasi bado ndogo sana, labda maboresho ya katika ya uwanja tu ila sehemu ya washangiliaji inabaki kiduchu maana kwa mfano viwanja kama CCM Kirumba, Shkh Amri Abeid, Samora(Iringa) vipo mjini kati halafu sehemu ni ndogo endapo upanuzi ukihitajikaUwanja wa mzee Mkapa ule ulijengwa "from scratch" ila hivi vingine ni maboresho tu
Iringa, hapana mkuu. Ni Dar, Dodoma, Arusha, Mwanza na Zanzibar baaasHata hivyo nafasi bado ndogo sana, labda maboresho ya katika ya uwanja tu ila sehemu ya washangiliaji inabaki kiduchu maana kwa mfano viwanja kama CCM Kirumba, Shkh Amri Abeid, Samora(Iringa) vipo mjini kati halafu sehemu ni ndogo endapo upanuzi ukihitajika
Ok, kwa hiyo hapa tushauri maboresho katika ya uwanja tu ili sisi washangiliaji tuhamie vibanda umiza?Iringa, hapana mkuu. Ni Dar, Dodoma, Arusha, Mwanza na Zanzibar baaas
Hahahahaaaa, hapana mkuu. Mimi ninashauri "total renovation" kuanzia pitch mpaka majukwaa ya mashabikiOk, kwa hiyo hapa tushauri maboresho katika ya uwanja tu ili sisi washangiliaji tuhamie vibanda umiza?
Kama ni hivyo itatubidi tuboreshe tu pitch, majukwaa haitawezekana, nafasi ni finyu.Hahahahaaaa, hapana mkuu. Mimi ninashauri "total renovation" kuanzia pitch mpaka majukwaa ya mashabiki
Kama nafasi ni finyu, watu wapewe fidia wahame ili nafasi iongezeke. Mkuu, hakuna jambo zuri lisilokuwa na gharama zake.Kama ni hivyo itatubidi tuboreshe tu pitch, majukwaa haitawezekana, nafasi ni finyu.
Ikiwezekana iwe Tanzania, Kenya na Uganda.Kama nafasi ni finyu, watu wapewe fidia wahame ili nafasi iongezeke. Mkuu, hakuna jambo zuri lisilokuwa na gharama zake.
Ni jambo zuri piaHahahahaaaa, hapana mkuu. Mimi ninashauri "total renovation" kuanzia pitch mpaka majukwaa ya mashabiki
Iringa hapana kwa sababu wahehe wanakula sana madogi?Iringa, hapana mkuu. Ni Dar, Dodoma, Arusha, Mwanza na Zanzibar baaas
Tofauti zao ni zipi?Ninazungumzia AFCON na sio WORLD CUP
Sawa baharia wanguNyapu za kiganda tutazihondomola.
Hahaaaaaa. Ila kwa AFCON tunaweza kuiandaa sisi Tanzania.CCM/MATAGA wana majibu khs hilo.Maana 97% ya viwanja hivyo ni mali yao.