2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

Uwanja wa mzee Mkapa ule ulijengwa "from scratch" ila hivi vingine ni maboresho tu
Hata hivyo nafasi bado ndogo sana, labda maboresho ya katika ya uwanja tu ila sehemu ya washangiliaji inabaki kiduchu maana kwa mfano viwanja kama CCM Kirumba, Shkh Amri Abeid, Samora(Iringa) vipo mjini kati halafu sehemu ni ndogo endapo upanuzi ukihitajika
 
Iringa, hapana mkuu. Ni Dar, Dodoma, Arusha, Mwanza na Zanzibar baaas
 
CCM/MATAGA wana majibu khs hilo.Maana 97% ya viwanja hivyo ni mali yao.
Hahaaaaaa. Ila kwa AFCON tunaweza kuiandaa sisi Tanzania.

Uwanja wa Mkapa na ule wa zamani (Dar es Salaam), Mwinyi (Tabora), Sheikh Amri Abeid (Arusha), Amani (Zanzibar), Nyamagana (Mwanza). Vikiboreshwa mbona tunaiandaa vizuuri.

Nakumbuka uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa billion 57, Leo hii Serikali ikiamua kutia bilion 100 kwenye kuboresha hivi viwanja naamini inawezekana, Ni malengo tu.
 
Back
Top Bottom