^00^

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Kulikuwa na harusi ilifanyika kanisani, wakati misa ya ndoa ikiendelea Mchungaji ikafika wakati wa kuuliza kama kuna mtu mwenye kipingamizi na ndoa, babu mmoja na mkongojo wake akajivuta taratibu mpaka mbele, bibi harusi alipomwona akapiga kelele "Mungu wangu" akaanguka na kuzimia, Mchungaji akamuuliza "Ehee babu tuambie una kizuizi gani?" Babu akajibu "kule nyuma spika mbovu nimeamua kuja mbele nisikie vyema".
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Mhudumu analeta supu huku katia kidole ndani ya bakuli.MTEJA: mbona unaweka dole lako ndani ya supu yangu?MHUDUMU: dactari kaniambia kidonda kiwe na joto saa zote ndio kitapona.MTEJA(kwa hasira): si uwe unakichomeka matakoni kwako muda wote.MHUDUMU: ndio huwa nafanya hivyo nikiwa jikoni.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Jambazi aliingia kanisani na bunduki akatangaza anaempenda yesu abaki ndani na wasiompenda watoke nje, watu wote wakatoka nje mbio kanisani akabaki mchungaji na wazee wa 3 -basi jambaz akamwambia mchungaj waweza kuendelea na ibada nilitaka kukutolea wanafki,.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Johny alimwomba afanya mapenzi fasta na sofia ofisini,Akamwambia sofia kuwa anataka ampe kimoja cha fasta ofisini kisha ampe 10,000. Sofia akagoma! Johny: Nitafanya fasta darling, nitaweka hela sakafuni ww ukiinama tu kuokota mi ntakuwa nimemaliza. Sofia akaomba ushauri kwa boyfriend wake Mr George. George: USIACHE HELA SOFIA! Mwambie atoe 30,000 kisha okota fasta kabla hajavua. George akasubiri dk 45 KIMYA. Akaamua kumpgia Sofia.Sofia akajibu ndio kwanza tupo nusu kwani Johny katupa 30,000 ya mia mia (chenchi chenchi)
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Baada ya shughuli kitandani MWANAMKE alimwambia mwanaume, "Gitaa lako dogo" MWANAUME akajibu: Sawa lakini sikujua kama nitatumbuiza Uwanja wa Taifa!.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Mkinga mmoja alikuwa anaendesha pikipiki wakati mvua inanyesha akaona ni vyema ageuze Koti lake mbele nyuma ili maji ya mvua yasiingie moja kwa moja kifuani, ghafla alivyokuwa anapita porini akamgonga swala wasamaria wema waliokuwa jirani wakamuokota na kuanza kumpatia huduma ya kwanza,cha kwanza wakagundua jamaa shingo imegeukia nyuma wakashauriana waigeuze ndipo walipomnyonga kwa kutojua amegeuza koti
 

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,022
2,201
MUME: Mke wangu nimepata tatizo ofisini.MKE: Mume wangu unakosea kusema hivyo, sisi ni mwili mmoja, sema tumepata tatizo.MUME: Kweli mke wangu, TUMEZAA NA SECRETARI.

eh ahah thethe teh mmmmmh kwah kwah kwah kwahkwah hah teh t hu mha bha fhuuhu hah
 

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
Mhudumu analeta supu huku katia kidole ndani ya bakuli.MTEJA: mbona unaweka dole lako ndani ya supu yangu?MHUDUMU: dactari kaniambia kidonda kiwe na joto saa zote ndio kitapona.MTEJA(kwa hasira): si uwe unakichomeka matakoni kwako muda wote.MHUDUMU: ndio huwa nafanya hivyo nikiwa jikoni.

kwi kwi kwi kwi kwi kwi............
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Top Bottom