^00^

Baada ya shughuli kitandani MWANAMKE alimwambia mwanaume, "Gitaa lako dogo" MWANAUME akajibu: Sawa lakini sikujua kama nitatumbuiza Uwanja wa Taifa!.

This has made my day, ndio maana napenda kutembelea hivi vituko duh! huyo dada lazima alikoma kuringa nyambaf! kitu uwanja wa taifa
 
MKE-mume wangu bomba linavuja litengeneze! MUME-kwani mi fundi bomba? MKE-paa limetoboka la nyumba?MUME-kwani mo fundi ujenzi? Basi siku moja mume akakuta bomba limetengenezwa na paa limezibwa, MUME-umempa nini fundi? MKE-fundi alitaka nimpikie keki au nimpe penzi,MUME-ha ha haaa vizuri najua ulimpikia keki sindiyoo?MKE-nyoooo nimpikie keki mie mpishi?nimempa Game.
 
T/F1/MO1 15 october 2011 mteja wa tanesco,S.L.P 000 Tanzania.Yah:kubadili jina la shirika,ndugu mteja rejea kichwa cha habari hapo juu,shirika la kusambaza umeme Tanzania(tanzania electric Sup.Co Ltd)limeona vema kubadili jina lake kua TANDSCO(Tanzania Darkness Sup Co Ltd)yaani shirika la kusambaza giza Tanzania,hii nikutokana na majukumu ya shirika kubadilika,tuna ahidi kufanya kazi kwa maadili bila kukosea,asanteni,UTAWALA.
 
Hivi kazi ya nguo ya ndani ni nini?ukivaa haijulikani,usipo vaa pia haijulikani,napia ikionekana unaambiwa umekaa uchi,sasa kazi ya nguo ya ndani ni nini?
 
Jamaa ana kimada nje ya ndoa,na mkewe anachunga mali zake kwa kukagua simu ya mumewe,sasa mumewe akasave jina la kimada kama low battery,kila ikipigwa mke akiona low battery anaweka simu kwenye charge,je wewe kimada ama hawara umemsave jina gani?
 
mwe mwe mwe mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!ufuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! mpaka nimeja...................a! duhhhh!
 
Bangi sio mchezo,jamaa kaikoleza si ikamtuma atoe nguo zote!aende kwenye kioo kujitazama si aone kavaa suti,si aende kama alivyo kwa masela wenzie kwa kujidai kabisa,akawauliza vipi suti imenikaa eh?mvuta bangi mwenzake mmoja akajibu,mwanangu suti imekubali ila tai umefungia chini sana.
 
MKE-mume wangu bomba linavuja litengeneze! MUME-kwani mi fundi bomba? MKE-paa limetoboka la nyumba?MUME-kwani mo fundi ujenzi? Basi siku moja mume akakuta bomba limetengenezwa na paa limezibwa, MUME-umempa nini fundi? MKE-fundi alitaka nimpikie keki au nimpe penzi,MUME-ha ha haaa vizuri najua ulimpikia keki sindiyoo?MKE-nyoooo nimpikie keki mie mpishi?nimempa Game.
Hahahahahaha duh
 
umetisha
 
Mtoto mdogo wa kiume kamsimulia *****,mama unafahamu kua dada(housegirl) kumbe ni malaika?MAMA-kwanini unasema hivyo?MTOTO-nilimuona akiwa uchi mikono ameshika ukutani akisema!mungu wangu nakuja,nakuja,nakuja.kama baba asingekua amemshikilia kwa nguvu kwa nyuma angeweza kupaa juu mbinguni!
 
Mtoto akiomba mbele ya wageni,ee mungu nakushukuru kwa kunipa wazazi wakarimu,nakushukuru kwa kuwaleta wageni hawa waliomaliza chakula changu,naomba usiwalete tena wakati wa kula,mbariki huyu kijana aliekua anacheza mieleka na dada kitandani na kumlisha soseji iliyo ndani ya suruali yake,wabariki wadada walio uchi kwenye simu ya baba ili wapate nguo,mwisho wabariki wanaume walio kuja kulala na mama baba awapo safarini ili nao wawe na kwao amen.
 
Kulikuwa na harusi ilifanyika kanisani, wakati misa ya ndoa ikiendelea Mchungaji ikafika wakati wa kuuliza kama kuna mtu mwenye kipingamizi na ndoa, babu mmoja na mkongojo wake akajivuta taratibu mpaka mbele, bibi harusi alipomwona akapiga kelele "Mungu wangu" akaanguka na kuzimia, Mchungaji akamuuliza "Ehee babu tuambie una kizuizi gani?" Babu akajibu "kule nyuma spika mbovu nimeamua kuja mbele nisikie vyema".

Sasa huyu binti alikuwa hajiamini kiasi hicho??? Yaani mpaka kwa babu wa makamo kama huyo alikuwa na wasiwasi naye???
Na je angesimama kijana kama Mimi????/
si ndo angezikwa hata kabla hajafa??
 
Sasa huyu binti alikuwa hajiamini kiasi hicho??? Yaani mpaka kwa babu wa makamo kama huyo alikuwa na wasiwasi naye???
Na je angesimama kijana kama Mimi????/
si ndo angezikwa hata kabla hajafa??
angekufa mazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom