^00^

^00^

MUME: Mke wangu nimepata tatizo ofisini.MKE: Mume wangu unakosea kusema hivyo, sisi ni mwili mmoja, sema tumepata tatizo.MUME: Kweli mke wangu, TUMEZAA NA SECRETARI.
duh hahahahahahhahahahah
 
Johny alimwomba afanya mapenzi fasta na sofia ofisini,Akamwambia sofia kuwa anataka ampe kimoja cha fasta ofisini kisha ampe 10,000. Sofia akagoma! Johny: Nitafanya fasta darling, nitaweka hela sakafuni ww ukiinama tu kuokota mi ntakuwa nimemaliza. Sofia akaomba ushauri kwa boyfriend wake Mr George. George: USIACHE HELA SOFIA! Mwambie atoe 30,000 kisha okota fasta kabla hajavua. George akasubiri dk 45 KIMYA. Akaamua kumpgia Sofia.Sofia akajibu ndio kwanza tupo nusu kwani Johny katupa 30,000 ya mia mia (chenchi chenchi)[/MBAVU ZANGU MIE JAMANI
 
hahahahahhaha pole jamani
 
Back
Top Bottom