^00^

^00^

mkuu umetisha!!..hasa ile ya Jambazi na Mchungaji!!!
 
MUME: Mke wangu nimepata tatizo ofisini.MKE: Mume wangu unakosea kusema hivyo, sisi ni mwili mmoja, sema tumepata tatizo.MUME: Kweli mke wangu, TUMEZAA NA SECRETARI.

yah nimeikubali ....
 
nzuri sana hizi mkuu excellent maana nimeongeza siku za kuishi kwa kucheka.
 
Mhudumu analeta supu huku katia kidole ndani ya bakuli.MTEJA: mbona unaweka dole lako ndani ya supu yangu?MHUDUMU: dactari kaniambia kidonda kiwe na joto saa zote ndio kitapona.MTEJA(kwa hasira): si uwe unakichomeka matakoni kwako muda wote.MHUDUMU: ndio huwa nafanya hivyo nikiwa jikoni.
u always make happy
 
Hakyanani msee wangu,nimenyosha mikono juu,ishara ya kusarenda,unatisha kama Osama.
 
Back
Top Bottom