zuchu

Zuhura Othman Soud (Zuchu)
Zuhura Othman Soud (born 22 November 1993) best known as Zuchu, Is A Tanzanian Musician, Songwritter and performer signed By Diamond Platnumz music label 'WCB Wasafi' (also known as Wasafi Classic Baby)

Zuchu is the daughter of the Tanzanian legendary taarab musician Khadija Kopa.
Zuchu is undeniably the most promising artist from Tanzania having topping the African chart on different platforms with her debut track "Wana"

She first rose into the music scene in 2015 from the first edition of TECNO OWN THE STAGE in Lagos, Nigeria
  1. K

    JamiiForums Tanzania Zuchu amkana Diamond si mpenzi wake baada ya sakata ya Tanasha

    Malkia wa Bongo fleva, Zuhura Othman almaarufu Zuchu kwa mara nyingine amelazimika kujitokeza na kufafanua uhusiano wake na bosi wa WCB, Diamond Platnumz. Huku gumzo kubwa ambalo linawahusisha yeye, Diamond, Tanasha Donna na Mama Dangote likiendelea, msanii huyo mzaliwa wa Zanzibar ameibuka na...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  3. bahati93

    JamiiForums Tanzania Couple hizi zitavunjika

    Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao yamekuwa ya mashaka sana. Hawa mastaa wafwatao wa bongo mahusiano yao yatavunjika na sababu za...
  4. Joannah

    JamiiForums Tanzania Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

    Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo. Hivyo tu.
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Babutale: Zuchu akitaka kuondoka alipe bilioni 5

    Harmonize aliondoka kwa Milioni 500 Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500 Zuchu bilioni 5. Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ? Is it fair?
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Nasikiliza Nyimbo za Harmonize na Zuchu (Wakiimba kazi za Magufuli)

    Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne. Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa. Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi Superwoman ya Phina Vs Superwoman ya Zuchu ipi imetulia kusikiliza kwenye gari lako ukiwa safarini?

    Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini. Nimeamua kuileta hii mada hapa jukwaani pengine tunaweza kupata majibu sahihi. Hii ni Superwoman ya Phina: Hii ni Superwoman ya...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Zuchu kwa sasa hakuna kama wewe

    Sina records nzuri lakini sijawai kuona msanii wa kike Tanzania amebeba tuzo nyingi hivi kwenye event moja. Zuchu kwa ili unastahili hongera, upo kimya umeacha kazi zako zipige kelele. Sisi ndio tunajua namna gani Zuchu ni mkubwa mtaani ila tukisema inakuwa nongwa umu watu wanapanic. Hongera...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Nandy anamuogopa sana Zuchu

    Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu. Wote tunajua Nandy hajawai toa ushirikiano kwa Wasafi media akiombwa interview au kumshirikisha kwa namna yoyote anachomoa. Lengo kutengeneza kitu kwa mashabiki kuwa anabaniwa ili...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  11. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mama Zuchu akiwa na Rais Dkt. Mwinyi

  12. Protector

    JamiiForums Tanzania Diamond asema yeye na Zuchu ni dada na kaka

    Mwanamziki aliyefanikiwa zaidi Tanzania, Diamond Platnum aka Simba ameweka wazi kuwa yeye na Zuchu ni dada na kaka na sio wapenzi kama wengi walivyokuwa wanafikiria au kujua. Kupitia insta story ameshea ujumbe huo kwa mashabiki wake.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Zuchu na Rayvanny kwa ushindi wa kishindo mmeipa heshima Tanzania

    Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki. Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k. Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka...
  15. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

    Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa...
  16. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Nipo nasikiliza kipindi cha watoto, kuna mtoto kaimba wimbo wa Fire wa Zuchu

    Ni hizi redio za mikoani kwenye kipindi cha watoto, leo kwenye kipengele cha vipaji kuna katoto kameimba huu wimbo, kamekariri vizuri kabisa.
  17. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu vs Burna Boy waingia kwenye mchuano wa MTV awards

    Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards. Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake mkubwa ni burna boi. Sasa bila kuchelewa ingia kumpigia kura mwakilishi pekee wa east africa...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwanini naamini Zuchu atafanikiwa kwenye brand yake mpya ya mavazi

    Kwanza hakuna ubishi Zuchu ndio msanii wa kike namba moja East and Central Afrika. Pili ndio msanii mwenye influence kubwa kwa sasa Tanzania kwenye lifestyle kuliko msanii yoyote yule. Kila binti sasa hivi anataka kuwa Zuchu kuanzia mavazi, mapozi, swaga na ustaa. Ama kwa hakika amejua kuwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Zuchu adhihirisha hofu yake ya kuachwa na kujihami kwa kwikwi

    Habari Wana JF, Mimi ni shabiki na mpenzi wa mziki mzuri haijalishi kaimba nani na kwa lugha gani. Kwangu Zuchu ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri, lakini Leo nataka tuongelee huu wimbo wake mpya wa KWIKWI. Nadhani watu wanaucheza sana kuliko kusikiliza ujumbe wake Haya ni baadhi ya maneno...
  20. mgt software

    JamiiForums Tanzania Zuchu wa WCB ashukiwa kibabe na wanamizengo alimtuhumu Ustadh Kumdhalilisha huku akikumbushwa Mamayake kudhalilisha wakina mama

    Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati kushikwa nyeti na diamond pia kuvaa vichupi kinyume na maadili ya dini yake ya kiislam. Washakunaku...
Back
Top Bottom