zuchu

Zuhura Othman Soud (Zuchu)
Zuhura Othman Soud (born 22 November 1993) best known as Zuchu, Is A Tanzanian Musician, Songwritter and performer signed By Diamond Platnumz music label 'WCB Wasafi' (also known as Wasafi Classic Baby)

Zuchu is the daughter of the Tanzanian legendary taarab musician Khadija Kopa.
Zuchu is undeniably the most promising artist from Tanzania having topping the African chart on different platforms with her debut track "Wana"

She first rose into the music scene in 2015 from the first edition of TECNO OWN THE STAGE in Lagos, Nigeria
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

    Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle. Gwajima is too heavy compared to Maza.
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu Zuchu yupo katika platform ya nguvu ila Abigail ana mpiga chini kimuziki

    Melody. Style. Sauti. Mashairi. Urban style. Najua mtanipiga mawe ila thats my view.
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu amefuzu kuwa supastaa mkubwa wa nchi. Nimeshangaa leo kuona gari zinaitwa Zuchu !!

    Leo katika pilika zangu za kutafuta rizki nilipita kwenye terminal ya makontena. Nikakuta hizi howo zinasomba hayo makontena na kuyapanga kwenye yard. Hizi gari kama mnavyozijua zinaitwa Howo. Lakini kwenye ulimwengu wa makuli hizi gari zinafahamika kama Zuchu. Niliuliza baadhi ya madereva na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimezunguka Tanzania Nzima Mijini na Vijijini, Nyimbo za Harmonize na Zuchu ndo zinapigwa sana

    Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio...
  6. Nifah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

    Hatimaye! Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

    Wakuu, Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini? Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho. Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu. Ni aibu kubwa sana...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu unatakiwa kufahamu, ukiingia kwenye mahusiano na Diamond umeingia kwenye vita

    Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu. Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani. Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond. Umegombana na wadada wa mjini na...
  9. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Zuchu amewaza nini kwenye video ya wimbo wake wa Antenna?

    Mimi ni shabiki wa Zuchu kwa kiasi fulani... Kuna huu wimbo wake mpya unaitwa "antenna" nimeusikia sikia huko mitaani nikasema ngoja nitafute video niangalie. Aisee, kwenye ile video ameweka picha za kutisha sana, kuna sehemu amejiweka kama jini/pepo anafanya vitu vya ajabu ajabu, video...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Katika Album ya Zuchu "Peace and Money" nyimbo ipi umekuibali?

    Kwa mim nimeipend hujanizidi feat dvoice na makonzi Wew je umetokea kuipenda nyimbo ipi
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu ndio msanii pekee wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dsm na likasimama

    Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa East and Central Africa. Lakini hii sio point yangu kwa leo. Zuchu ndio msanii wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dar es Salaam na likatii amri kwa kifupi hana mpinzani. Nyota yake inazidi kuwa kali kila kukikucha. Katoa album kali sana sijui mara ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Wasafi washinda Tuzo Saba usiku mmoja katika East Africa Magic Vibes Awards

    Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa kuamkia leo Desemba 16. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa lebo hiyo inayotambulika kwa kuwatengeneza...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

    Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Drama ya Mondi kuachana na Zuchu imeshindwa kuwapaisha.

    Ndio maana tunaambiwa tusijenge mazoea. Nakumbuka hawa vijana walifanikiwa kutengeneza Drama kama hii mwanzoni na Diamond akafunga safari hadi Zanzibar kwenda kumuomba Zuchu msamaha wakati ana perform live kule. Na hakika Drama yao ile iliwapaisha kupata public attention hasa kwenye social...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

    Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana! Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Diamond na Zuchu kila wanapotaka kutoa wimbo lazima WASEME WAMEACHANA

    Naona ka Zuhura tayari kametangaza kuachana na Diamond. Wasanii wa Bongo bhana
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso ajiachia na wimbo wa Zuchu kwenye Mahafali ya Chuo cha Maji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameweza kuonyesha upande wake wa burudani kwa kucheza na kuimba wimbo wa msanii Zuchu wakati wa Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji yaliyofanyika leo, Novemba 13, 2024, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi.
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakika nyakati zinakimbia, nakumbuka wimbo wa dataz/joan wakionyana kuhusu mume wa mtu leo zuchu analazimisha uke wenza kwa nguvu na vijana wana-cheer

    "Sikiliza nikuambie wewe dataz mume wa mtu ni hatariiii...🎶" https://youtu.be/EPQiEXLzYY4?si=B60DDmFLAMapuPFh Siku hizi mna visabengo kwenye muziki sasa mnakaa kuhamasishwa alafu yakiwakuta ya kuwakuta mnatia huruma mitandaoni 😂 "oooh sijui leo ndio ujue mimi ni mke mwenzako hata kama hautaki...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zuchu amuwekea Diamond Platnumz sharti zito kabla ya kupata mtoto pamoja

    Wakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆 Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba...
Back
Top Bottom