zitto

  1. Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

    Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World. Kwanza ningependa kumpongeza Zitto Kabwe kwa kazi nzuri sana anayoendelea kufanya, kwenye hili ametenda haki na ameonesha ukomavu wa hali juu kama kiongozi wa Chama cha Upinzani (ACT Wazalendo). Ameweza...
  2. Kwanini Rais Samia anamwamini Freeman Mbowe kuliko Zitto Kabwe? Mbowe hajawahi kuwa na msimamo Mmoja!

    Nilishangaa sana na ninashangaa mpaka Leo mamlaka kumfanya Mbowe ni special opposition leader? Mbowe muda mwingi yupo ikulu tofauti na wapinzani wengine ..ninani alimuongopea rais amwamini Mbowe kuliko Zitto na wapinzani wengine? Mbowe hajawahi kueleweka na ndio maana Kuna panda shuka Kila mwaka...
  3. R

    Zitto unatuambia Mkataba unaenda Bunge gani?

    Zitto amegoma kukosoa content za mkataba alichoona yeye ni mjadala wa Bunge kwamba ndiyo mara Kwanza. Lakini hataki pia kutuambia kinachokwenda bungeni ni Muswada, sheria au mkataba. Anashindwa pia kutuambia kwanini Bungeni liende azimio na madhara ya kuazimia yanawezaje kubadili signature...
  4. S

    Bandari inauzwa kwa waarabu, Gesi LNG inauzwa kwa uingereza, Mbowe, Lissu, Zitto mko wapi kupaza sauti?

    Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu...
  5. Zitto Kabwe: Rais Samia aondoe hati ya dharura kwenye Muswada wa Sheria ya Usalama wa Taifa, pia TISS ikaguliwe matumizi yake ya fedha

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Ktavi, amesema; "Tulivyopata taarifa kuwa muswada wa sheria ya usalama wa Taifa umefichwa - fichwa tukasema, wametusikia na sasa wameuweka wazi kwamba sasa wataujadili.Hii ndiyo faida ya vyama vingi kwamba...
  6. Zitto Kabwe: Maafisa usalama wa taifa wanalaumiwa kwa mambo mabaya. Wanaua , wanateka watu na kutesa watu

  7. M

    Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

  8. M

    2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
  9. Zitto Kabwe akitajwa kokote au akasifiwa, CHADEMA hukosa raha. Kwanini roho za kutu?

    Poleni kwa msiba wa Benard Membe na William Malchela. Najiuliza tu na kuwauliza tu kwamba kwanini Zitto Kabwe akitajwa na kusifiwa kwa jambo lolote hawa ndugu wa CHADEMA hukosa raha? Ni kwa sababu; (a) Walitegemea atakufa na kupotea kisiasa baada ya njama yao ya kumtimua CHADEMA? (b) Wanaona...
  10. Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

    Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe. Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
  11. Zitto Watanzania hatujasau mlivyomtosa Membe kwenye Urais 2020

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema) kuwa mgombea wao wa urais wa Tanzania...
  12. Zitto: Baadhi ya mitambo ya Vyombo vyetu vya na dola mlitumika kumchafua BM

    Zitto katoa kashfa nzito kuvihusu vyombo vya dola kwa kutumika kumchafua Membe ikiwamo mitambo ya vyombo hivyo kutumika kuchapisha magazeti ya kumchafua. Maoni yangu: Hii kashfa ni kubwa mno kutolewa na mfanya siasa kama Zitto tena mbele ya Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na ni...
  13. Zitto Kabwe ulikuwa wapi Kuwakemea na Kuwashangaa walioshangilia Kifo cha Magufuli hadi Kuchukia wanaoshangilia cha Membe?

    Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu. Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
  14. T

    Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

    Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema! Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake Sasa leo tunamkumbusha tuu Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo...
  15. Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa. Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
  16. Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  17. Zitto Kabwe, Ili ashinde urais mwaka 2030 lazima ashinde mikoa zaidi ya mitano

    Njozi ya Zitto Kabwe kugombea urais mwaka 2030 iko wazi baada ya mitandao ya kijamii kumnukuu akiweka wazi nia yake hiyo. Hata hivyo ili ashinde mbele yake ana kazi kubwa kwa kuwa anahitaji kupata ushindi wa kishindo ktk mikoa mitano au zaidi. Sasa swali la kujiuliza ni JE mbali na Kigoma...
  18. Uhusiano wa Zitto na upotoshaji ni kama wa damu na nyama

    Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja imejengwa hadi kipindi cha fedha tajwa kinaisha. Ukimsikia utaona anahoja lakini ukisikiliza unaona...
  19. Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  20. M

    We Zitto Kabwe kibaraka wa CCM acha propaganda uchwara. Habari hizi peleka kwenu ujiji.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…