Naomba qualification/CV zao.
Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO.
Sifa zingine:
Baba LEVO ni CHAWA
ZITTO ni mnafiki na opportunist.
Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba
Dunia kweli duara.
Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣
Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣...
Mwanasiasa mkongwe na Kiongozi wa ACT Wazalendo aliyemaliza muda wake ameeleza kuwa sababu kubwa ya kuanzisha ACT-Wazalendo ilitokana na changamoto zilizuibuka katika chama alichokuwamo yaani CHADEMA mwaka 2012 baada ya kuanza kuundiwa mizengwe.
Anasema alipofukuzwa katika chama hiko moja ya...
Akiwa Zanzibar' kumtambulisha Mgombea Urais wa Chama chake Luhaga Mpina, Kiongozi wa zamani.wa ACT wazalendo ZItto Kabwe amejiapiza kwamba kama Luhaga Mpina atashinda kwenye Uchaguzi huo, kama atatangazwa au kama hatatangazwa, atakuwa Rais.
Amesema vivyo hivyo kwa wagombea Ubunge na Udiwani...
Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam.
JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
NARUDIA ukimnya wa Zitto na wenzake dhidi ya kauli za Zitto zitafanya tumwamini pole pole dhidi ya Act kuwa TAWI la CCM aise ni aibu kubwa sana.
Kumbe ndio maana wagombea wa Act ni masalia ya CCM? Tena wale utengenezewa ngiriba dhen sisi ulagaiwa yakuwa wamekataliwa kumbe uwa ni mpango wa CCM...
Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu.
Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni.
Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile.
Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
Wote ni wachumia tumbo,
Wote Ni matapeli,
Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo,
Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na magenge yote ambayo baada ya maslahi yao kuguswa ndio waliibuka kujifanya watetezi wa wananchi...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi
Kwa mujibu wa taarifa...
Kitendo cha Zitto Kabwe kusema kuwa kungojea miaka mingine mitano kama vyama visiposhiriki uchaguzi wa mwaka huu, ni muda mrefu Sana, inaonesha Zitto hajui anachokipigania
Kumbe Zitto kwake yeye ukombozi usiogusa maslahi yake binafsi hauna faida. Miaka mitano ijayo kukiwa na uchaguzi Bora...
Katika chapisho lililopigwa pini kwenye ukurasa wake wa X, Zitto Kabwe ameikosoa vikali CHADEMA kwa kile anachokiita unafiki na kukosekana kwa mfano wa kuigwa.
Amedai kuwa ni unafiki kwa viongozi wa chama hicho kuhimiza ususiaji wa uchaguzi huku wakiburuzana mahakamani kuhusu mali za chama...
Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo abazunguka mikoa yote tanzania na kuhadaa umma kuwa october wapige kura na kwamba kura hizo zutalindwa baadhi ya wadau wamemuuliza ni mbinu gani atatumia kulinda kura swali hilo analikwepa!
Sasa Zitto kabwe maoni yangu ni kwamba kura hailindwi kwa mbinu...
Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe.
Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema.
Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
Wakuu
Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings)
Zitto Kabwe (12 Juni 2025): Alikosoa pendekezo la ushuru wa...
Kama kweli
Mfumo unataka kumtumia Baba Levo kuvuruga uchaguzi Kigoma mjini
Pia mfumo unataka kumtumia Mwijaku kuvuruga uchaguzi Kigoma mjini
Bado pia haukuona pontetilaity ya Zitto unataka ashindwe Kigoma mjini aise mfumo unaaribu nchi mchana kweupe
Kwamba Mwijaku au huyo Baba Levo ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.