zitto

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitamtafuta Zitto kuna mambo mazuri anayo kwa maendeleo ya Kigoma Mjini

    Mbunge mteule wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema kuwa alitumia kila aina ya mbinu ili kushinda uchaguzi kutokana na nguvu na uzoefu aliokuwa nao mpinzani wake Zitto Kabwe katika jimbo hilo. Mbubge huyo Mteule ameyazungumza hayo jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa ushindi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Kama Wamasai hawasumbuliwi Uraia kwanini Watu wa Kigoma wasumbuliwe Uraia?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao. Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025...
  4. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe anafanya Mkutano Mkubwa Kigoma, leo Oktoba 12, 2025, asema "Mimi ni Zitto yuleyule"

    Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center. https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda uso kwa uso na Zitto, Mwanza

    Soma pia: Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana amwambia Zitto 'Uliwapigania wazazi wetu ni muda wa sisi kukupambania'

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekutana na vijana wa jimbo hilo na kujadili nao changamoto mbalimbali zinazowakabili. Katika mkutano huo, vijana wengi waliotoka katika timu tofauti za mpira wa miguu wamesema kwa mara ya kwanza watashiriki...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege amtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itakuwa chama kama Polepole anavyokisemaga

    Wakuu Bungala anaendelea kupiga kwenye mshono, amemtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itapoteza mvuto wake. Bwege ameunga dots kwa yaliyotukia Kigoma hivi karibuni ambapo Baba Levo na Rais walikuwa wakimuongelea Zitto na kuoenekana kama kijana wa nyumbani (CCM). Soma pia >...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Heche aliniambia walitaka kwenda ACT lakini Zitto aliwakataa kwa kuwa wangemuaharibia kwani aliahidiwa mambo mazito na Rais

    Mwanachama wa ACT Selemani Bungala Maarufu kama Bwege anaeleza kuwa wakati mambo yanatokota kipindi cha Mbowe pale CHADEMA, Heche na wenzake walitaka kuhamia ACT Wazalendo lakini Zitto aliwakataa kwa sababu wangeendeleza siasa zao za maneno makali na hivyo kumuharibia kwa Rais ambaye alikuwa...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Mkinichagua bei ya Simenti itashuka Kigoma

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amewaambia wanakigoma wakimchagua kuwa Mbunge atashusha bei ya Simenti ambayo inazalishwa katika Mkoa huo kutokana na bidhaa hiyo kuuzwa bei sawa na Simenti inayotoka Dar es salaam. Zitto Kabwe amesema...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ugomvi wa Zitto na Magufuli ulianzia kwenye Kukata Mirija ya Ulaji kwa Zitto

    Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu. Magufuli alikuwa anajua Zitto anatumika na Kikwete akamlia bati na hakumtaka maana siku zote Magufuli alikuwa akimdharau sana Zitto. Hapo...
  11. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto ni gangue kwenye mitandao lakini huku mwepesi sana kama biskuti

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Naona sasa Zitto taa ya kijani imewaka. Comedian anapayula hovyo. Zitto anamwaga madini.
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zitto Kabwe ni bonge la kupe

    Sitii neno. Naleta kama ilivyo. Najua Zitto Kabwa yumo humu. Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini. Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka? Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake? Je, amelishwa kitu? Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa...
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shuhudia nyomi linalomsindikiza Zitto Kabwe kwenye mkutano wa kuzindua Kampeni za Uchaguzi Kigoma

    https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0 Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
  16. Griss

    JamiiForums Tanzania Zitto na Mbowe nao ni Wanamtandao?

    Kuna Habari za ndani zinasema mfadhili mkuu wa ACT wazalendo na mtu aliyemshawishi Zitto kuondoka chadema ili chadema ife baada ya vikao kadhaa ni Rostam Azziz. Je inawezekana ndio sababu ya Mbowe kuwasaliti Lissu,Mnyika na Slaa na kuamleta Lowassa chadema mwaka 2015? Je Mbowe na Zitto ni...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Zanzibar: Zitto na wenzake wanavuna usaliti walioufanya kwa Dorothy Semu kumlazimisha ajitoe kuwania Urais

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa Urais, badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa. Pia kimemtaka Kiongozi Mstaafu wa chama hicho Zitto Kabwe kuacha kutoa shutuma zisizo na sababu wakati Luhaga Mpina...
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mpina na Zitto wanatuchezea Kombolela Kwenye uchaguzi

    GT Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza. Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved 💯 haya matamshi na mabarua mengi ni kujikosha tu but they know everything. Mpina naye anasumbuliwa na ushamba kama hajatumwa na...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa MCHEZO hatari, ni Zitto wa Chadema au Act wazalendo anapambana na Baba Levo ubunge?

    Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo? Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo? Time will tel Niko pale
Back
Top Bottom