Je system inataka kumvua ubunge Baba Levo ili apewe Zitto?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,477
Reaction score
10,339
Kuna kesi inaendelea pale mahakama kuu masijala ndogo ya Kigoma kuhusu ushindi wa Clayton Chipando a.k.a Baba Levo kuhusu ubunge wake.

Kuna tuhuma kuwa ushindi wa Baba Levo ulikuwa na hujuma kwa wapinzani wake wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Endapo atakutwa na hatia, Baba Levo anaweza kupoteza ubunge wake. Na hapo ndipo jina la Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo jina lake linapoibuka.

Ngoja tuendelee kufatilia…
IMG_0826.jpeg
 
Kuna kesi inaendelea pale mahakama kuu masijala ndogo ya Kigoma kuhusu ushindi wa Clayton Chipando a.k.a Baba Levo kuhusu ubunge wake.

Kuna tuhuma kuwa ushindi wa Baba Levo ulikuwa na hujuma kwa wapinzani wake wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Endapo atakutwa na hatia, Baba Levo anaweza kupoteza ubunge wake. Na hapo ndipo jina la Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo jina lake linapoibuka.

Ngoja tuendelee kufatilia…View attachment 3626147
Huyu hatoboi!
 
ZZK amefanikisha kiini macho cha "maridhiano" huko visiwani.
 
Back
Top Bottom