Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
boy
boys
gani
haraka
hatua
kati
kiume
kizazi
kulelewa
kuokoa
kuona
man
men
namna
pekee
utandawazi
vizazi
vizazi vijavyo
wanawake
watoto
watoto wa kiume
wizara
zinahitajika
Inafikirisha kuona baadhi ya tasisi za serikali kuwa katika wizara ambazo siyo sahihi inakuwaje TEMESA iko wizara ya Ujenzi?
Ina maana mamlaka haizioni, nadhani wizara ya Ujenzi ungekuwa na taasisi ambazo zinahusika na ishu za Ujenzi lakini wizara yetu ya Ujenzi imejikita kwenye barabara tena...
Hati ya TIN kutoka TRA
Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni)
Mkataba wa pango (kama umepanga)
Tax Clearance Certificate kutoka TRA
Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf. TCRA, TBS, EWURA, TMDA, n.k.)
Tajiri yupo Dar es salaam. Ananunua Kontena za Ft 20 na Ft 40. Ziwe katika Hali nzuri. Baada ya makubaliano, Usafiri ni juu yake. Atasafirisha kontena zilizopo Nje ya Dar es salaam. Zinahitajika haraka. Wahi mapema.
Kwa mawasiliano Piga 0753021619.
Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze
Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone.
Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze.
Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tathmini ya athari ya miundombinu ya barabara nchini imebaini hadi kufikia jana Aprili 14, 2024 kuwa Wizara ya Ujenzi inahitaji kiasi cha Shilingi Bilioni 500 ili kuwezesha urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja katika hali yake ya...
Bohari ya Dawa (MSD) imeshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo ulioandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na kuwakutanisha Madaktari Bingwa, wataalam na wadau wa afya, wauguzi na watunga sera kutoka mataifa zaidi ya 40 Duniani kwa lengo la kujadiliana na kubadilishana uzoefu...
Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu.
Hoja yangu ni fupi.
Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu.
Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara.
Location: Dodoma
Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni.
Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
Spares zifuatazo zinahitajika:
1. Grille show
2. Bumper la nyuma
3. Kioo cha nyuma
4. Indicator/parking lights
5. Side mirror ya kulia
6. Chrome ya boot.
7. Rear skeleton right side.
Kama unavyo tafadhali wasiliana kupitia +255 689 601 271. Tufahamishe pia kama una bodi ya gari hii kwa vitu...
Wanabodi,
Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei...
Wakuu heshima kwenu,
Kuna gari Nissan Caravan ya 2007 CC 2950 ya Diesel.(Engine Z30)
Hii gari ilikuwa inatumia lita 1 kwa km 9.
Sasa kuna mtu aliweka Petrol kuanzia hapo tatizo likaanza lita 1 ikawa km 8 hadi sasa lita 1 kwa km 6.
Mafundi wamekagua na kushauri ninunue Nozel zake 4 hivyo...
Nina MACBOOK PRO
Nahitaji kuiwekea
1. HIGH SIERRA
2. FINAL CUT PRO X
3. LOGIC PRO X
4. REASON
5. GARAGE B
6. EXCELL-WORD-PWPOINT
7. PREMIER PRO
8. PHOTOSHOP
9. ILLUSTRATOR
10. DREAMWEAVE
11. IN DESIGN
12. SOFTWARE NZURI YA KU RIP DVDs / CDs
13. SOFTWARE NZURI YA KUHAMISHA DATA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.