Mbegu za nyasi zinahitajika

Mbegu za nyasi zinahitajika

keniTz

Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
28
Reaction score
52
Habari wakuu. Tunahitaji mbegu za nyasi kwaajili ya malisho ya mifugo.

Aina ya nyasi: desmodium
Bei kwa kilo: 40,000
Kiasi: tani 3
Eneo: Arusha

Mawasiliano: 0626532223

Note: ni oda ya haraka
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Nashkuru. Ila naomba niambie ni watu gani hao na wanapatikana wapi. Kama utanisaidia namba zao itakua vizuri sana
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) taasisi ya serikali hii chini ya wizara ya mifugo na uvuvi,

unaweza kuwafollow Instagram
au hata facebook,
website TALIRI | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mwanzo

Ofisi ya TALIRI ya Kanda ya kaskazini​

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
S.L.P 147,
Sanya Juu ,Kilimanjaro,Tanzania
Barua pepe : westkilimanjaro@taliri.go.tz
Simu/Nukushi
Piga Bure: +255-784705134
Simu: +255 784705134
Nukushi: +255-784705134

hapo huwezi kosa maelezo
 
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) taasisi ya serikali hii chini ya wizara ya mifugo na uvuvi,

unaweza kuwafollow Instagram
au hata facebook,
website TALIRI | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mwanzo

Ofisi ya TALIRI ya Kanda ya kaskazini​

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
S.L.P 147,
Sanya Juu ,Kilimanjaro,Tanzania
Barua pepe : westkilimanjaro@taliri.go.tz
Simu/Nukushi
Piga Bure: +255-784705134
Simu: +255 784705134
Nukushi: +255-784705134

hapo huwezi kosa maelezo
Shukrani sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Similar Discussions

Back
Top Bottom