zinahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Reforms zinahitajika kwenye baadhi ya Wizara za Serikali

    Inafikirisha kuona baadhi ya tasisi za serikali kuwa katika wizara ambazo siyo sahihi inakuwaje TEMESA iko wizara ya Ujenzi? Ina maana mamlaka haizioni, nadhani wizara ya Ujenzi ungekuwa na taasisi ambazo zinahusika na ishu za Ujenzi lakini wizara yetu ya Ujenzi imejikita kwenye barabara tena...
  2. youngkato

    Ni nyaraka gani zinahitajika kuomba leseni?

    Hati ya TIN kutoka TRA Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni) Mkataba wa pango (kama umepanga) Tax Clearance Certificate kutoka TRA Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf. TCRA, TBS, EWURA, TMDA, n.k.)
  3. The ice breaker

    Ngozi za ng'ombe zinahitajika

    Habari Nahitaji ngozi za ng'ombe , hata kama una mzigo wa tani laki moja , nachukua Nipigie 0616274277
  4. K

    Kontena 47 za ft 20, Kontena 23 za Ft 40 zinahitajika haraka

    Tajiri yupo Dar es salaam. Ananunua Kontena za Ft 20 na Ft 40. Ziwe katika Hali nzuri. Baada ya makubaliano, Usafiri ni juu yake. Atasafirisha kontena zilizopo Nje ya Dar es salaam. Zinahitajika haraka. Wahi mapema. Kwa mawasiliano Piga 0753021619.
  5. M

    Mwenye sunstone, kama unajua location au mtu. Zinahitajika

    Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  6. GoldDhahabu

    Bendera za Tanganyika zinapatikana wapi?

    Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi?
  7. N

    Bashungwa: Zinahitajika Bilioni 500 kujenga Barabara zilizoharibiwa na Mvua za El-Nino

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tathmini ya athari ya miundombinu ya barabara nchini imebaini hadi kufikia jana Aprili 14, 2024 kuwa Wizara ya Ujenzi inahitaji kiasi cha Shilingi Bilioni 500 ili kuwezesha urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja katika hali yake ya...
  8. B

    Zinahitajika ivy leaves na senna pods haraka sana

    Kama una access nazo njoo inbox please..
  9. Roving Journalist

    Dkt. Philip Mpango: Jitihada zinahitajika kutoa elimu ya magonjwa yasioambukiza

    Bohari ya Dawa (MSD) imeshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo ulioandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na kuwakutanisha Madaktari Bingwa, wataalam na wadau wa afya, wauguzi na watunga sera kutoka mataifa zaidi ya 40 Duniani kwa lengo la kujadiliana na kubadilishana uzoefu...
  10. T

    Nahitaji mkulima au muuzaji nafaka mwenye stock ya kutosha ya zao la dengu

    Habari, Wakulima na wauza mazao, nahitaji mkulima au muuzaji nafaka mwenye stock ya kutosha zao la dengu tuwasiliane mara moja. Asante sana.
  11. Msanii

    Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu. Hoja yangu ni fupi. Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu. Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
  12. Inkotanyi 94

    11 pro na s10 zinahitajika haraka

    Mwenye hizo bidhaa tuwasiliane haraka. 11pro iwe 256gb. S10 iwe black. Biashara ni leo na kesho tu
  13. Mfukutuzi

    Mashine za Uwakala NMB & CRDB zinahitajika Dodoma

    Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara. Location: Dodoma
  14. Ali Nassor Px

    Pesa pekee haileti mafanikio ya timu, mbinu za kocha pia zinahitajika

    Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni. Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
  15. M

    Spares za Honda Stream zinahitajika

    Spares zifuatazo zinahitajika: 1. Grille show 2. Bumper la nyuma 3. Kioo cha nyuma 4. Indicator/parking lights 5. Side mirror ya kulia 6. Chrome ya boot. 7. Rear skeleton right side. Kama unavyo tafadhali wasiliana kupitia +255 689 601 271. Tufahamishe pia kama una bodi ya gari hii kwa vitu...
  16. Pascal Mayalla

    Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

    Wanabodi, Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei...
  17. L

    Rain boots zinahitajika chap

    Rain boots zinahitajika chap, Location:Moshi mjini Zinahitajika pea 20 chap, njoo na Bei ya jumla inbox ,
  18. Ulongupanjala

    Nozel za Nissan Caravan Z30 zinahitajika

    Wakuu heshima kwenu, Kuna gari Nissan Caravan ya 2007 CC 2950 ya Diesel.(Engine Z30) Hii gari ilikuwa inatumia lita 1 kwa km 9. Sasa kuna mtu aliweka Petrol kuanzia hapo tatizo likaanza lita 1 ikawa km 8 hadi sasa lita 1 kwa km 6. Mafundi wamekagua na kushauri ninunue Nozel zake 4 hivyo...
  19. P

    Software hizi zinahitajika tafadhali

    Nina MACBOOK PRO Nahitaji kuiwekea 1. HIGH SIERRA 2. FINAL CUT PRO X 3. LOGIC PRO X 4. REASON 5. GARAGE B 6. EXCELL-WORD-PWPOINT 7. PREMIER PRO 8. PHOTOSHOP 9. ILLUSTRATOR 10. DREAMWEAVE 11. IN DESIGN 12. SOFTWARE NZURI YA KU RIP DVDs / CDs 13. SOFTWARE NZURI YA KUHAMISHA DATA...
  20. L

    Wadau wanastahili kujivunia kwa kutangazwa siku ya Kiswahili Duniani lakini juhudi za kukikuza zinahitajika zaidi

    Na Pili Mwinyi Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
Back
Top Bottom