Mshindi anapata zawadi ya milioni 500

Mshindi anapata zawadi ya milioni 500

mshimboka

Member
Joined
Jun 13, 2026
Posts
29
Reaction score
74
Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji.

Mshindi atakayekuja na wazo zuri atajishindia kiasi Cha milioni 500 kutoka kwangu
 
portugal vs spain -w2..odds 2.023
20250420_003527.jpg
kama umepea espanya rudi nyuma kwanza 😎
 
Aliekuahidi atakupa hyo hela usimuamini...binadam wanabadlika.

Naona umemchukulia very serious...
 
Kitambo kuna jamaa aliwahi kuniambia anazo milion 200,unamradi gani tufanye?,nilishindwa!,
Msidharau,wapo watu wanafedha nyingi kweli tena ni wa kawaida sana!...
 
Kitambo kuna jamaa aliwahi kuniambia anazo milion 200,unamradi gani tufanye?,nilishindwa!,
Msidharau,wapo watu wanafedha nyingi kweli tena ni wa kawaida sana!...
Dah ata kulima hukuwaza
 
Kampuni ya tours uhakika inakulipa ipasavyo ata iyo 500 ni nyingi sanaa
Kampuni ya tours inavooperate

Unafungua kampuni yako na kupata vibali vya serikali halafu unaitengenezea website na kuilipia

Kwa huku Zenji utanunua coaster mbili zenye thamani ya 160M na Alphard tatu mpaka nne zenye thamani ya 18M per each

Unakodi nyumba nzuri yenye fence kwa ajili ya kulazia gari zako na hapo ndipo patakapokua ni office yako kwa gharama ya laki 6

Baada ya hapo unaanza kusikilizia wageni after 3yrs pesa yako imesharudi
 
Back
Top Bottom