zawadi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Qatar kumzawadia Rais Trump ndege ya kifahari boeng 747- 8 jumbo jet, yeye adai itatumika kama air force one

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kupokea ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8 kama zawadi kutoka kwa familia tawala ya Qatar wakati wa safari yake ya Mashariki ya Kati wiki hii ijayo, na maafisa wa Marekani wanasema inaweza kubadilishwa na kuwa ndege inayoweza...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

    Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali. Kitendo hicho...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vichunguze nia iliyojificha ya msanii Said Said aliyetaka kumpa zawadi Rais, isiishie hivyo tu

    Nashauri vyombo vya dola vifanye homework kwa kumchimba huyu kijana na hata kumuhoji. Jambo alilotaka kufanya linataka wenye akili ya ziada wamchimbue sana na taarifa rasmi ikajadiliwe gizani. Pia, next time, isiwe ruhusa kumkaribia kiongozi kabla ya kupata clearance.....
  4. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya utoaji zawadi mtumishi bora ikileta picha ya ubaguzi

    Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemnunulia mke wa mtu zawadi ya chupi,kazipokea

    Kila nikitoka home nikirudi,huyu mke wa mpangaji mwenzangu ananiomba zawadi. Nikasema ngoja nimtege kidogo,jioni hii nimepita duka flani la nguo za kike nikanunua chupi za kike kama 3 hivi ,nimefika tu home naingia getini nashangaa mtu ananiulizia zawadi zake,nimetoa mfuko nikampa Nikamwambia...
  6. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zawadi ya EID: Mwijaku kulipia jamii Maskini 1000 Kodi za nyumba miezi 12

    Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
  7. Deejay nasmile

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zawadi ya Jumapili! Sikiliza na download playlist hii ya nyimbo za dini

    huyu kuna nyimbo kama vile picha ya mama -bahati bukuku nina siri-israel moyo wangu-rose muhando kunyata nyata- christina shusho-ningare martha mwiaapaya godluck gozbet joel n.k https://hearthis.at/ignas-ndimbo/dvj-nasmiletz-gospal-vol-4-nina-siripicha-ya-mamaherikijitonyamamartha-mwaipayamgendi/
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Anayejua idadi kamili ya nywele zake aniambie nimpe zawadi !!

    Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu. Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average: Blondes: ~150,000 hairs Brunettes: ~110,000 hairs Black hair: ~100,000 hairs Redheads...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Mara asema Mikopo ya serikali sio zawadi rejesheni kwa wakati. Tusisahau mikopo waliopewa wasanii nao warejeshe harakaa

    Wakuu Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kally Ongala tunaokujua tulijua tu kuwa Leo iwe isiwe utawapa Zawadi kutokana na Unazi wako Kwao na Unafiki wako uliopitiliza

    Sasa kwanini usiombe tu Kazi huko Kwao ili tujue moja? Mechi yetu nawe najua utatukazia mno na hata Kushirikiana nao Kuroga / Kuturoga.
  11. yassird200

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaza kumletea mzee nguo kama zawadi ya valentine. Ni sawa au nitakuwa nimekosea?

    Wakuu! Binafsi mimi si mtu wa masuala ya mapenzi hata kwenye siku kama ya leo. Leo nilikuwa na mpango wa kuwatembelea wazee, lakini kwa kuwa ni siku ya upendo, nikaona si vibaya nikichukua chochote kwa ajili yao. Kuhusu huyo mzee, ishu si yeye kama mtu, bali ni mama yake. Sasa nawaza kumletea...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zawadi zinazotolewa na wanasiasa wakati wa Uchaguzi ni Rushwa? Wananchi wanatofautishaje?

    Usikose kuungana nasi leo Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi. Je ni rushwa? Wananchi wanatofautishaje? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa zamani walikuwa wanaonyeshwa kamba tu ya mkonge ukumbini. Ng'ombe wa Zawadi yupo kijijini....

    Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi. Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii video ya Zawadi Mauya imenifikirisha saana

    Kuna mahojiano ya Zawadi Mauya baada ya mechi ya Yanga dhidi ya timu yake ya KenGold. Kuna mambo kama matatu hivi yalitokea yamenifikirisha sana. Kwanza, Zawadi alisema KenGold ilijiandaa kutumia wachezaji wake kadhaa lakini ikashindikana kutokana na kwamba wamecheleweshewa vibali. Nimeshangaa...
  15. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

    Mwanamke muelewa Anajishusha Anapenda ujifunze Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
  16. The Mongolian Savage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume hutakiwi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwenzako

    Inakuwaje wanajamvi. Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa. Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu. Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali. Kuna vitu vingine kwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania "Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka Mwanawe, wakati wa uhai wake"

    Wadau hamjamboni nyote? Ukweli uko wazi na lazima usemwe hata kama unakera Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Siku njema Genesis 25:6
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

    Moja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia. Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo...
  20. Mchochezi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
Back
Top Bottom