Ukipokea zawadi unatakiwa kuilipia kodi?

Ukipokea zawadi unatakiwa kuilipia kodi?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,843
Reaction score
21,095
Hivi unakatwa kodi kwenye zawadi?
20260713_234241.jpg
 
Ni kosa kulipia zawadi kodi kwasababu hakuna uzalishaji umefanyika ni possession isiyokuwa na ongezeko la thamani au capital gain yoyote.


Kwa upande mwingine, watendaji wa tra ni wavivu kutengeneza mashitaka ya watu wanaotumia vibaya privilege ya zawadi kukwepa kodi. At the same time Mahakama za Tanzania zimelala sana katika kukazia hukumu na kuwalinda watu wenye nyadhifa.

Zawadi haitozwi kodi.
 
Rasilimali za Nchi zinaondoka bila kuzijadili tupo busy kujadili kodi ya zawadi tunakua kama tumekatwa vichwa gesi mnajua tunapata kiasi gani cha kodi kila mwaka mpo busy na hela za harusi..
 
Back
Top Bottom