zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa. Akizungumza kutokea...
  2. JamiiForums Tanzania Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?

    Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani? Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi? Nani katibu wake? Vikao vyake hufanyika mara ngapi kwa mwaka? Agenda zao huwa zipi? Hivi vyeo viwili...
  3. JamiiForums Tanzania Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar hakuna watu walionyimwa dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi?

    Kesi nyingi za uhujumu uchumi Tanzania utasikia uchunguzi haujakamilika, na hii inachukua miaka kadhaa. Ila katika mazingira ya uchunguzi kuendelea mtu yuleyule unasikia ameshauriana na DPP au Mahakama na ameeelekzwa kulipa kiasi flani Cha fedha. Je, ukokotoaji wa kiasi hicho kinacholipwa...
  5. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi apendekeza kuundwe Kamati ya kushughulikia unyanyasaji wa Kijinsia

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameshauri kuundwa kamati maalumu itakayowashirikisha wadau mbalimbali ili kulitafutia ufumbuzi tatizo la udhalilishaji wa kijinsia lililokithiri katika jamii. Dk Mwinyi ametoa ushauri huo jana katika mkutano uliojadili masuala ya udhalilishaji wa kijinsia na...
  6. JamiiForums Tanzania Maalim Seif akiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira Visiwani Zanzibar unaosababishwa na tofauti za kisiasa

    Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi wa ajira visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Amekiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira kwa baadhi ya Wazanzibari, unaotokana na misingi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi punguza sana Cheap Publicity ambayo naona inaanza kukuzoea sasa

    Kuna Mtu wako Mmoja wa karibu mno hasa kutoka Wizara uliyokuwa ukiiongoza huku Tanzania Bara kwa muda mrefu kanidokeza ya kwamba Role Models wako wakubwa Kiuongozi na ambao unawakubali sana ni aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Hussein Obama na Rais Mstaafu wa Tanzania kwa Awamu ya Nne Mzee Dk...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Kundi la Alshabaab limethiri ya kwamba raia wa Tanzania alihusika katika shambulizi la Manda airfield huko Lamu Kenya. Jamaa huyu alislimu na kuwa muislamu mwaka wa 2015, kisha akapelekwa Somalia kupigana. Nimewaambia mara ngapi nyie bongo kwamba mna shida ya ugaidi nchini mwenu. Tanzania ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Siasa za mivutano zinaathiri ustawi wa Zanzibar

    MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano. Akiwa kwenye ziara yake katika Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba jana amesema, mivutano ya kisiasa imekuwa ikiathiri ustawi wa Zanzibar. “Sisi sote tuna maslahi mapana na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

    Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote. Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu. 1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace. 2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Barua za uteuzi Zanzibar zinaandikwa kwa ufasaha, Jamuhuri igeni

    Barua zote za uteuzi za Rais wa Zanzibar zina kifungu Cha sheria au katiba kinachompa Rais mamlaka ya uteuzi. Barua za Muungano zinakosa hiki kipengele muhimu sijui kwanini, naamini ipo haja ya kuiga wenzetu wanavyooandika. Japo font, mpangilio wa haya barua za Msigwa zinavutia zaidi. Mwisho...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar anaongea na watumishi na wadau wa kada ya Afya , JPM ongea na sekta ya elimu nchini.

    Ukiangalia TV mathalan chanel Ten Rais Hussein Mwinyi yupo Live akipokea changamoto mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa sekta ya afya Zanzibar ,ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kwamba tukianza mwaka mpya wa 2021 na kwa vile shule kuanzia ngazi ya chekechea mpaka high lever zitakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwasimamisha kazi watakaotuhumiwa kwa rushwa ili kupisha uchunguzi

    Rais wa Zanzibar amesema Kuanzia sasa kiongozi atakayetuhumiwa kwa rushwa, atamsimamisha kazi kupisha uchunguzi na uchunguzi ukikamilika na kukutwa hana hatia, atarejeshwa kazini bila kupoteza stahiki zake "Suala la maadili na usimamiaji wa haki za binadamu limepewa kipaumbele na serikali...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

    Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini. Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar. Maendeleo hayana vyama!
  16. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Zanzibar uliopita ulikithiri ufisadi hadi hauonekani

    Kwa jinsi Husein Mwinyi anavyoshindwa kuvumilia juu ya vitendo vilivyofanywa na watawala, sikusudii watawala wa kiarabu, nawakusudia hawa tuliopigania uhuru pamoja na kuahidi kuleta maendeleo. Rais Hussein kila anapopagusa patupu, watawala wa waliopita wakiongozwa na CCM wameshakwapua. Yaani...
  17. JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kirusi akutwa akiwa amefariki dunia ndani ya hoteli Zanzibar

    Mambo ndiyo kama hivi wadau! ========== Bilionea wa Kirusi, Igor Sosin amefariki kwenye mapumziko mjini Zanzibar akiwa na mwanae wa kike, Taisia pamoja na mwanamke ambae hajafahamika. Hii ni miaka mitano tangu mtoto wake wa kiume, Egor alipomnyonga mke wake wa pili na waya wa simu mwaka 2015...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

    Jengo hili lilikua ndio sura ya mji Mkongwe Zanzibar na kivutio Kiki kikubwa cha utaliii, lakini serekali imeshindwa kulitunza. Serekali ya Oman 🇴🇲 ilikua tayari kulikarabati lakini inaonekana wamefanyiwa urasimu na watendaji wenye tamaa. === Jengo la Beit al Ajaib lilijengwa na sultan wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Marais wapya wanatoa wapi mfumo mkali wa harufu ya rushwa kutoka kwa mabosi wao wa zamani?

    Viongozi wa Afrika Kuna sehemu wanakwama katika utendaji wa kazi zao. Inawezekana si wakweli na wazalendo au Kama ni wakweli na wazalendo Basi tafsiri ya uzalendo inapaswa kutafsiriwa upya. Kiongozi anaishi ndani ya Baraza la Waziri, anaishi Ikulu na anakuwa karibu sana na mtangulizi wake...
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wakurugenzi wasimamishwa kwa tuhumaza ubadhirifu wa mali za umma

    Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Masoud Ali Mohammed amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mjini pamoja na Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Magharib 'A' na kuagiza kuanza kwa taratibu za uchunguzi juu ya tuhuma mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…