zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Muda umefika sasa Tanzania na Zanzibar kuungana

    Habari wadau..! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa. Binafsi naona kama Tanganyika na Zanzibar hazijaungana bali zina mashirikiano katika baadhi ya mambo. Nashauri sasa Tanzania (sio...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

    Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano. Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

    Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi. Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais. Kwenye hotuba zake nyingi. Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo...
  4. JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa na kombe la muungano (April 26) kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu?

    Mambo vp JamiiForums Sasa tunalo kombe la mapinduzi kwa vilabu kutoka Tanganyika na Zanzibar, kwanini tushindwe kuwa na kombe la muungano (April 26) mechi moja tu kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu? Lilianza mwaka 1982 na kufa mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  6. JamiiForums Tanzania Kama makubaliano juu ya muungano hayakuridhiwa na Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, muungano wetu ni halali?

    Hili ni swali muhimu sana kwa mustakabari wa muungano wetu. Maana ni miaka 57 toka tumeungana lakini inasemekana articles of union ya awali haijawahi kuwekwa hadharani. Mbali ya hilo inasadikiwa kuwa haikupelekwa kwenye baraza la wawakilishi ili iweze kujadiliwa na kuridhiwa kama ilivyokuwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar - Mwandishi aliepigwa na askari afarijika

    Hongera sana sana Serikali ya Dr. Husein Mwinyi kuonyesha njia ya utendaji haki, Haki sawa kwa wote ni baada ya polisi kumpiga na kumtesa vibaya sana mwandishi kutoka Tanzania mainland wa gazeti la wananchi anaefanyia shughuli zake Zanzibar. Serikali kupitia Mawaziri wake wawili wa habari na...
  8. JamiiForums Tanzania Leo kumbukizi ya muungano wa Zanzibar na Tanganyika, utaratibu upo vipi?

    Tuliisha zowea sikukuu za kiserikali kutaarifiwa gharama ( pesa ) kuelekezwa kwenye miradi mingine sasa sherehe hii ya leo imekaaje?
  9. S

    JamiiForums Tanzania WAZIRI wa KILIMO Zanzibar hili Lako, enhee Wadudu wanfurutu ada matunda hayaliki

    Kama Wazenji hapa wapo au humu wamo napenda wanifikishie Raisi wa Zanzibar Dr. Husein Bin Ali Bin Husein el Mwinyi ya kuwa sasa ni aibu kwa matunda ya Zanzibar, ulitafunalo lina ndudu aka funza. Hili sio la Raisi ni la Wizara ya Kilimo na waziri husika wa Zanzibar hapa Tanganyika sijawahi kula...
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Othman Masoud awataka wananchi wa mkoa wa Kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili Serikali ipambane kuleta maendeleo

    Makamu wa kwanza wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, amewataka wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili kutoa fursa kwa serikali kupambana katika kuleta maendeleo. Makamu wa kwanza ameyasema hayo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa Vitabu vya maendeleo binafsi (Personal Development)

    Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana. Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar unawezadhani hakuna ubadhirifu ila laaa

    Zanzibar tuliaminishwa watu awapigi mpunga ila nimefuatilia madudu yanayoibuliwa na Rais aliyepo nikabaini binadamu hasa waliosoma wanatumia vyema taaluma zao kufanya ubadhirifu kuliko kuwatumikia wananchi. Baada ya tumbuatumbu kuwa kali wazee wameanza kumlalamikia Rais Mwinyi kwamba anafukua...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo yaliingia mkataba wa muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa dola la...
  14. JamiiForums Tanzania Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar nchi ndogo yenye nguvu ambayo imekuwa ikiamua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano awe nani

    Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nyerere hakutaka kujikweza akaona amwambie Rais Karume kuwa awe yeye Karume. Karume akakataa katakata...
  16. JamiiForums Tanzania Branch Manager – Stone Town, Zanzibar at KCB Bank

    Job Summary: The role holder is responsible for overall leadership of the branch to achieve growth, profitability and customer service excellence whilst ensuring implementation of an effective risk management framework through efficient utilization of resources. Job Details: Key...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi Afanya Teuzi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Kanali Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo(KMKM). Kanali Makame Abdallah Daima ameteuliwa kuwa Kamishna Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) Kanali Rashid Mzee Abdallah ameteuliwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ijue maana ya neno "Demka". Ni Kiswahili kutoka Zanzibar chenye asili ya lugha ya Kikae

    Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu. Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni neno la kiswahili kutoka asili ya kusini mwa Zanzibar. demka Taz. demnga. demnga V cheza ngoma kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waziri Jafo aridhishwa miradi ya Muungano

    ZANZIBAR :- WAZIRI JAFO ARIDHISHWA MIRADI YA MUUNGANO Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amefanya ziara ya kikazi ya kukagua miradi inayotekelezwa pande mbili za Muungano visiwani Zanzibar na kuonesha kuridhishwa na utekelezaji wake. Akiwa...
  20. JamiiForums Tanzania 4% ya mapato kwenda Zanzibar kama Hoja ya Muungano

    Kuna hoja nimekuta watu wanaongea, ni kuhusu kile ambacho mama amesema waziri wa fedha akakae na mwenzake wajadili na kusuluhisha katika kero za muungano. Ninaupenda sana Muungano,ninauunga mkono. lakini, nilijiuliza kitu kimoja, mimi kama mtu wa bara sitaki tupigwe pia kama wazenji wasivyopenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…